Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wenzangu wa Ix Bet kuna hii option ya Substitute Player to Score unaweka NO inakuwaga na odds kuanzia 1.25-1.40
Jana nimecheza k wa game 10 ikatoa odds 13.65 kwa stake ya 10,000 nikala 136,500/=
Na leo nimecheza game 10 tyr game mbili zilizoanza zimekubali na nimeweka 20k ikitiki napata 247,000/=
Ila ni kwa zile ligi kubwa kama laliga..bundesliga,EPL,liegue 1 na Serie A
 
Follow this link to join my WhatsApp group: WAZEE WA KUWEKA MZIGO
Screenshot_2018-02-04-17-19-10.png

Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app
 
Wenzangu wa Ix Bet kuna hii option ya Substitute Player to Score unaweka NO inakuwaga na odds kuanzia 1.25-1.40
Jana nimecheza k wa game 10 ikatoa odds 13.65 kwa stake ya 10,000 nikala 136,500/=
Na leo nimecheza game 10 tyr game mbili zilizoanza zimekubali na nimeweka 20k ikitiki napata 247,000/=
Ila ni kwa zile ligi kubwa kama laliga..bundesliga,EPL,liegue 1 na Serie A

Hii option inapatikanaje mkuu ... nimejaribu kupekua kwny game ya Liverpool/Totenham ila sijaiona

Km usmtashare screenshot itapendeza zaidi
 
Back
Top Bottom