Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1X bet ktk PC kuna time betslip inapotea, naitafuta yani hata sijui ilipo, hii kampuni iko poa sana ila muonekano wa website ni shida, kuona sehemu za ku scroll page down ni ishu
kama web inakusumbua Pakua App ya PC ambayo ipo pale kwa juu kushoto
 
Ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka, naona @princessbet wamekuwa garasa rasmi na wanakaribia kufanana tu na m bet,yaani wamepunguza option nyingi balaa.
hua wananiacha hoi ukiwa una bet inplay kwenye basketball odds hazitulii kabisa mara imeahamia huku mara imepotea vurugu mechi yaani wanaogopa kuliwa hao
 
Wenzangu wa Ix Bet kuna hii option ya Substitute Player to Score unaweka NO inakuwaga na odds kuanzia 1.25-1.40
Jana nimecheza k wa game 10 ikatoa odds 13.65 kwa stake ya 10,000 nikala 136,500/=
Na leo nimecheza game 10 tyr game mbili zilizoanza zimekubali na nimeweka 20k ikitiki napata 247,000/=
Ila ni kwa zile ligi kubwa kama laliga..bundesliga,EPL,liegue 1 na Serie A
Lete mkeka
 
upload_2018-2-4_18-6-2.png
 
Hii option inapatikanaje mkuu ... nimejaribu kupekua kwny game ya Liverpool/Totenham ila sijaiona

Km usmtashare screenshot itapendeza zaidi
Hii hapa mkuu
Kwa game ya Liverpool

69359e755035b3a0896c97326902c112.jpg
 
Naona upepo umenikimbia ngoja kuanzia kesho nitukia nirudi jumamosi maana sio kwa gundu hili huu mchezo unatumia akili nyingi muda mwingine akili inachoka kumpuzika sio dhambi
 
Wenzangu wa Ix Bet kuna hii option ya Substitute Player to Score unaweka NO inakuwaga na odds kuanzia 1.25-1.40
Jana nimecheza k wa game 10 ikatoa odds 13.65 kwa stake ya 10,000 nikala 136,500/=
Na leo nimecheza game 10 tyr game mbili zilizoanza zimekubali na nimeweka 20k ikitiki napata 247,000/=
Ila ni kwa zile ligi kubwa kama laliga..bundesliga,EPL,liegue 1 na Serie A
kampuni gani?
 
86706d494dbf323ab2fe293cb281a082.jpg


11f40a34321c39345786a215280a4a39.jpg


Wale wazeee wa 10 minutes draw... hii game mbona siielew.... kwingine goal dakika 16... sehem nyingne goal dakika 09.... which is which Sasa..?[emoji36] [emoji36]
. ...
 
Barcelona mnataka kuwa
Kama getave hata kagol kamoja hakuna
 
Back
Top Bottom