Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Screenshot_20180204-194844.jpg
 
Kweli hi kaz n ngumu
Unaomba kicking
Unapewa heard

Kwa leo cku n mbaya sana dhaaa
Game ya barca mgoli yote
Yamefungwa na kichwa ama

Maana Sion update yyt kwenye mkeka wang
 
Kweli hi kaz n ngumu
Unaomba kicking
Unapewa heard

Kwa leo cku n mbaya sana dhaaa


Hahaha ...km mm jana Sergio Ramos alichonifanyia. Nlieeka goli la kwanza lipatikane kwa kicking, jamaa si akajitwisha bana ... daah !
 
Naona leo NBA mwendo wa under unanukia, akili zao zote zipo ktk Super Bawl
 
Back
Top Bottom