Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nliiona hiyo option pia ... hadi option ya " Medical Team kuingia uwanjani Over/Under 2.5"

Yani 1xbet wana options balaa ...
upload_2018-2-4_22-39-7.png


Hivyo vi option mnavipata wapi ktk huu mtiririko?je ni hapo ktk 13 au?
 

Attachments

  • upload_2018-2-4_22-39-7.png
    upload_2018-2-4_22-39-7.png
    4.5 KB · Views: 37
yaani mikeka ya timu tatu tatu inachanwa na timu.moja tena dk za tisini
 
Machief, kama mnavyoshuhudia, matokeo ya kiQUMER bado yanaendelea. Hii ni wiki ya KISHETANI sijapata kuona tangu nianze kubet. Mnashauri nn kifanyike ili kukabiliana na JANGA hili?


Kwa kwl imekuwa weekend mbaya sn ... si corners, si 10 Min X wala nn ... yani hakuna faida hata ya 20K.

mxiuuuuuu
 
Mm natumia simu (1xbet app), inakuwa rahisi zaidi kuziona. Kwa laptop, naona ni shida kdg kusearch hizo options ...
Buddy tuma hapa app ya hiyo maana mm nna browser tu inasumbua kuona baadhi ya option
 
Thanks mkuuu Ila hatukomi
Na huyu kanji
Mkuu yaani mhind alinpigaga 150k ya fasta fasta sina ham nae, saiz nabet kwa 2000Tshs kwanza namvutia kasi aisee ntampatia tu siku moja.
 
Mkuu yaani mhind alinpigaga 150k ya fasta fasta sina ham nae, saiz nabet kwa 2000Tshs kwanza namvutia kasi aisee ntampatia tu siku moja.
Aiseee hapo alikaanga hatar mkuu

Sasa dawa n kumvutia tu Kas
Mpaka aingia box
 
10mins draw ni option ya kijinga sana...naona hapa imeshacha, leo kutwa nzima nampiga kanji bila kuicheza now dk za mwsho nimeicheza kwa wareno, washachana Odds zangu 2 na bila wao nilikua na odds 1.9
 
Back
Top Bottom