Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

0a24fe6106dcf92c33d7e74525d7c11c.jpg
 
Ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka, naona @princessbet wamekuwa garasa rasmi na wanakaribia kufanana tu na m bet,yaani wamepunguza option nyingi balaa.
Hapana niliongea nao kwenye simu wanasema kuna tatizo la kimtandao linashughulikia litakaa poaa na option zitarejeaa kama kawa..
Mi bado nawaelewaa sanaa hawa jamaaaa wapo makini
 
hua wananiacha hoi ukiwa una bet inplay kwenye basketball odds hazitulii kabisa mara imeahamia huku mara imepotea vurugu mechi yaani wanaogopa kuliwa hao
Hahah[emoji23] noma sanaa ila hiyo huwa kwa sbb ya mwenendo wa mechii nd mana zinakuwa odds zinabadilika ni kawaida ya live games ndo zilivo
 
1xbet vioption kibaoo
 

Attachments

  • IMG_20180205_064212.jpg
    IMG_20180205_064212.jpg
    37.4 KB · Views: 42
Mm natumia simu (1xbet app), inakuwa rahisi zaidi kuziona. Kwa laptop, naona ni shida kdg kusearch hizo options ...
Yeah! Ni kweli. Hata mm nimejaribu kusearch kwa simu imeshndikana.
f64aed91b3567c8beaf391db9b504fa3.jpg
 
Inagomaje mkuu? ... mm natumia Android phone na imekubali. Huwa napendelea kubet 1xbet kwa kutumia simu kuliko Computer.
Haifunguki kunipa options za kubet. Napata tu main page lakini haifunguki zaidi ya hapo. Nadhani cm yangu ina uwezo mdogo. Bora niwe natumia computer.
 
Haifunguki kunipa options za kubet. Napata tu main page lakini haifunguki zaidi ya hapo. Nadhani cm yangu ina uwezo mdogo. Bora niwe natumia computer.
Kuna app ya computer pia. Nayo iko simple kama ya simu tu
 
Hawa jamaa wana options tamu sn ... yani uwezekano wa kula ni mkubwa zaidi.
Kabsa mkuuu shda yao n Ku withdraw
N stress me mpaka now cjadanikiwa
Cjui wanataka ujaze really I'd
Ama nn
 
Kabsa mkuuu shda yao n Ku withdraw
N stress me mpaka now cjadanikiwa
Cjui wanataka ujaze really I'd
Ama nn


Mimi bado sijajaribu kuwithdraw ... maana nimechezea vipigo mfululizo ... jana Wanyama ndio alimaliza na mtaji kbs.
 
Back
Top Bottom