Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1xbet kuwithdraw ni rahisi saana. Sema ukiwa na bonus walokupa huwezi toa hadi uliwe bonus yote au uwin kama wanavyotaka



sorry Mkuu, hivi unawezaje kuangalia km una bonus ama lah? maana toka nimejiunga nao nimeshadeposit 169,000TZS lkn sijawahi kupata/kuona bonus yao.
 
Princess bado mtoto ambaye anatambaa bdo hajaanza kusimama [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu we huwa unatumia wapa, maana m princess n mara chache sana na kosa kula kwa siku, kwa sababu ya options zao af kuwithdraw ndan dk chache tu
 
Mkuu we huwa unatumia wapa, maana m princess n mara chache sana na kosa kula kwa siku, kwa sababu ya options zao af kuwithdraw ndan dk chache tu
Mi 1×bet haijawah nisumbua kwa sasa kwenye kuweka pesa na kutoa pesa alaf option za hatari.
 
Eb tufamihamishane mkuu, sjawah itumia ila m huwa naona Princess na meridianbet wana options nying


Basi ukijiunga nao ndo utaweza kucompare kwa urahisi ...

1xbet wana options nyingi ambazo siwezi kuziandika zote ... hizi ni baadhi ...

i. Headed Goal - Yes/No - yani kama kutakuwa na goli la kufungwa kwa kichwa au lah
ii. Goal directly from free kick - Yes/No
iii. Substitute Player to Score - Yes/No
iv. Hat-trick - Yes/No
v. Brace - Yes/No
vi. Throw-In before Foul - Yes/No
vii. Goal before substitution - Yes/No
viii. Yellow card before substitution - Yes/No

etc etc ....

Hizo option ukiziona kwingine nifahamishe mkuu.
 
Natumia simu ... lkn hata kwny computer naweza kulogin. Ila mara nyingi natumia simu
Fuatisha hapo nilipozungushia. Mwishini utaona option ya main akaunti. Bonus ya kawaida na mwisho ni bonus ya 1xgames.
2018-02-05+10.08.38.png
2018-02-05+10.09.26.png
2018-02-05+10.09.59.png
2018-02-05+10.10.37.png
 
mkuu mi nimewithidroo pesa leo tangu saa 12asubuhi kwa mpesa hadi mida hii pesa aijafika.sijui shida nn?
Mbna mi nimetoa pesa kupitia 1xbet hata 5minutes hazijaisha kitu kikasoma au wananiogopa siku hizi maan niliwahi deposit pesa mwanzoni mpak leo haikuingia na niliwasumbua sana lakini wapi but kuanzia hapo kuweka na kutoa ni sawa na kumsukuma mlevi aiseee
 
Basi ukijiunga nao ndo utaweza kucompare kwa urahisi ...

1xbet wana options nyingi ambazo siwezi kuziandika zote ... hizi ni baadhi ...

i. Headed Goal - Yes/No - yani kama kutakuwa na goli la kufungwa kwa kichwa au lah
ii. Goal directly from free kick - Yes/No
iii. Substitute Player to Score - Yes/No
iv. Hat-trick - Yes/No
v. Brace - Yes/No
vi. Throw-In before Foul - Yes/No
vii. Goal before substitution - Yes/No
viii. Yellow card before substitution - Yes/No

etc etc ....

Hizo option ukiziona kwingine nifahamishe mkuu.
Hii option ya brace inamaana gani?
 
Mbna mi nimetoa pesa kupitia 1xbet hata 5minutes hazijaisha kitu kikasoma au wananiogopa siku hizi maan niliwahi deposit pesa mwanzoni mpak leo haikuingia na niliwasumbua sana lakini wapi but kuanzia hapo kuweka na kutoa ni sawa na kumsukuma mlevi aiseee
mi aijaingia bado na sijui nawasiliana nao vip?msaada please
 
1×bet lugha ndio tatzo kwa sisi ambao lugha chai ya lang i
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] just kidding
 
Back
Top Bottom