Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

nimeona ukiomba msaada hapa mara kadhaa je umejaribu kuchat nao?

kwa sabab kwa uoande wangu huwa haizidi dakika 15

lakini pia wakati wa kujisajili kama ulitumia quick registration nasiki huwa inazingua kuwiyhdraw
niewithdroo asubuhi pesa aijaja.now nacheck balance kweny 1xbet account pesa imerudi nikawithidroo tena stil pesa aijafika.ssa sijui mi ndo nakosea au laa,mkuu natumia pc kwa version ya simu ssa sehemu ya charting siioni
 
Nimewapata MLIPA leo wamepokea nikaongea nao kuhusu hela ambayo haijafika 1xbet, jamaa ananiambia hao 1xbet wasumbufu sana usideposit tena hela huko. Hela yangu wamesema wanairudisha kwe mpesa
mkuu hebu nisaidie hiyo namba ya mlipa
 
Hahah[emoji23] noma sanaa ila hiyo huwa kwa sbb ya mwenendo wa mechii nd mana zinakuwa odds zinabadilika ni kawaida ya live games ndo zilivo
Sijamaanisha kubadirika, zinahama position unaweza ukawa unachagua point za home team kumbe wakati unachagua ile position ya home wamesha weka point za away team kwa hiyo usipo kuwa makini wakati una place bet unaweza uka poteza kizembe sana, na imesha wahi kunitoke zaidi ya mara moja kupoteza namna hiyo.
 
1×bet lugha ndio tatzo kwa sisi ambao lugha chai ya lang i
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] just kidding
Mm ndo kabsa disco yan
Hua natumia Google translate kuchart nao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mattzo ya kusoma st kayumba ndo haya
 
Do not pass your withdrawal key 054447 on to others

Hiyo msg nimeletewa baada ya kubonyeza withdraw kupitia tigopesa ktk 1x Bet..
Una maana gani wakuu maana nataka kuwithdraw pesa kidogo...
Kwa yeyote aliyewahi kuwithdraw Ixbet msaada tafadhali
 
Nimewapata MLIPA leo wamepokea nikaongea nao kuhusu hela ambayo haijafika 1xbet, jamaa ananiambia hao 1xbet wasumbufu sana usideposit tena hela huko. Hela yangu wamesema wanairudisha kwe mpesa
Dah! Mkuu inamaana tupahame kule?
 
wadau mnatumia 1xbet una depost vipi fedha kwa njia ya m-pesa vodacom
ONLY for the mobile phone supporting USSD push messages-nimeshindwa kuelewa hapa wanamanisha nini
 
Kunasiku nikaomba wanipigie siwakapiga bhana yaani wanapga lugha ya hatari mimi nkawa nawajib You know youuuuuuu know zikawa nyingi sana, nilivyo ona wanazidi nikawakatia sim [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mkuu ku depost una depost vip? nimeshindwa kuelewa hapa -ONLY for the mobile phone supporting USSD push messages
We mchumi bhana pale umeletewa amount na no# unayo depositia uki weka amount na no# yako eg
30k
255754100100
Uk click ok unapokea sms ya kukamilisha muamala mda huo huo
 
Mimi bado sijajaribu kuwithdraw ... maana nimechezea vipigo mfululizo ... jana Wanyama ndio alimaliza na mtaji kbs.
Nadhani njia nzuri zaidi ya ku-deposit na ku withdrwaw 1xbet ni kutumia e-walet especially skrill

Nimesumbuana nao sana nilideposit 100k kwa USSD push message toka jumamosi kitu hakijasoma, sms za miamala kutoka kwa washirika wengine kama Tigo, M lipa na Beyonic zilikuja lakini kwenye account ngoma haijasoma

Kwa hiyo nikaambiwa hivyo e wallet is the safe way

BTW ..Bado napelekeshana nao 100k yangu inaniuma sana aloo
 

Attachments

  • IMG_20180204_150316.jpg
    IMG_20180204_150316.jpg
    7.6 KB · Views: 37
niewithdroo asubuhi pesa aijaja.now nacheck balance kweny 1xbet account pesa imerudi nikawithidroo tena stil pesa aijafika.ssa sijui mi ndo nakosea au laa,mkuu natumia pc kwa version ya simu ssa sehemu ya charting siioni
mkuu ukijisajiri kwa quick registration?
 
Back
Top Bottom