TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,442
- 8,695
OkyInawekwa kwa baadhi ya Ligi ... sio zote. Angalia kwenye timu za ligi kubwa kubwa mf. England, France, Italy, Spain, Germany ... utaiona.
OkyInawekwa kwa baadhi ya Ligi ... sio zote. Angalia kwenye timu za ligi kubwa kubwa mf. England, France, Italy, Spain, Germany ... utaiona.
Wanasema kuna ttzo la mtandao option zote zitard kama kawaNaona princessbet wameondoa option ya kona....nimehamia rasmu 1x tangu jana, nashukuru Mr Wise kwa tip yako ya inplay game ya Monaco ov 4.5 ilinipakiasi kidogo cha kuanzia
[emoji109]Chamuhim ni namba, country,name na password
Mimi nime register namba ya tigo kweny A/C lakin kweny kudeposit na tumia either tigo ama Voda njia rahisi ni iyo ya Push message ambapo una weka kias na namba unayo lipia huo muamala kwa maana hyo kama ume chagua namba ya voda/tigo Push sms ita ingia kweny namba husika na ww uta kamilisha muamala Simple tuuMkuu hivi kufanya muamala kwa USSD push message unatakiwa utumie smart phone??
Maana mimi nilifanya na tena nilitumia Tigo na sms walinirudishia hivyo hivyo hao Beyonic tangu J Mosi lakini pesa haijasoma kwenye Account
Nilitumia ki simu kidogo cha kubofya though.
yaani watu wanalalamika hadi kero kama wamelazimishwa wajiungeView attachment 690885
Muamala usha soma dk 0 tu kudeposit na sijawah patwa na tatzo lolote natumia Push message
Waongo...M-Lipa ndio wenye matatizo...walishanisumbua sana...ìla baadae pesa ilifika 1xbet....baada ya kuwakomalia sana M LipaNimewapata MLIPA leo wamepokea nikaongea nao kuhusu hela ambayo haijafika 1xbet, jamaa ananiambia hao 1xbet wasumbufu sana usideposit tena hela huko. Hela yangu wamesema wanairudisha kwe mpesa
Leo tu asubh saa 2 nime withdraw zaidi ya 100k tena fasta ikaingia bila shidaWakuu ajitokeze mtu hapa aliyewahi withdraw kutoka 1xbet.. 100k yangu imenifanya kwenda kutafuta review zao mtandaoni
Naanza kuwaogopa
Inaonekana unabonus ww na haiwez toka mpaka utimize masharti ya bonusWakuu ajitokeze mtu hapa aliyewahi withdraw kutoka 1xbet.. 100k yangu imenifanya kwenda kutafuta review zao mtandaoni
Naanza kuwaogopa
Kuwithdraw 1xbet ni faster tu kwangu haijawah sumbua wala chelewaLeo tu asubh saa 2 nime withdraw zaidi ya 100k tena fasta ikaingia bila shida
Mkuu hapana sina bonus .. niliweka tuu pesa leo karibia siku ya nne haijaingia kwenye accountInaonekana unabonus ww na haiwez toka mpaka utimize masharti ya bonus
Mimi nimedeposit leo nikapewa bonus ya kucheza magem inaitwa 1xgames bonus. Na nahisi japo sina uhakika na hili ukideposit afu utoe bila kubet nadhan haitoki. Sina uhakika lakini na hiliMkuu hapana sina bonus .. niliweka tuu pesa leo karibia siku ya nne haijaingia kwenye account
hiyo push message maana yake ni nini?Tumia hyo push message mkuu
yaah me hela iliingia elfu30Wakuu kuna aliuefanikiwa kurejeshewa miamala au Fedha kuingia 1xbet kwa ile siku kulikuwa na matatizo ya kimtandao Vodacom?