Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

d3184ce4a462185fb8a9ff61066f1fc8.jpg
d5049cd303326d7d84b8641e74cd232f.jpg
650eb04493be3b102071b0f7001b31fe.jpg

3mzukaaa
 
twendeni na option ya mwisho hyo kabisa kwa odds 3.4 tumjaribu hapo leo
Goal ranges 1-6
card ranges 1-6
corner ranges 7-15
katika kila mechi
 
Attachments

  • Screenshot_2018-02-05-17-00-17.png
    Screenshot_2018-02-05-17-00-17.png
    65.1 KB · Views: 49
hiy

hiyo push message maana yake ni nini?
Hii ni message ambayo utumwa katika namba yako ya simu uliyoiandika kua unatumiaku deposit muda ule ume click deposit, message hii ukuruhusu wewe kufanya taratibu za malipo kwa mtandao unaoutumia eg. Voda, Tigo nk
Message hii uandikwa procedure za malipo ya bill za kampuni simu unayotumia pia vitu hivi muhimu
1. Namba ya kampuni ya 1xbet ambayo ni 400700
2. Kumbukumbu namba ambayo ni 0081bet

Ukisha click kule ktk ku deposit usifanye malipo yoyote kabla ujapokea hii msg ktk namba uliyoiandika kua unaenda kutumia ku deposit
 
Mimi nime register namba ya tigo kweny A/C lakin kweny kudeposit na tumia either tigo ama Voda njia rahisi ni iyo ya Push message ambapo una weka kias na namba unayo lipia huo muamala kwa maana hyo kama ume chagua namba ya voda/tigo Push sms ita ingia kweny namba husika na ww uta kamilisha muamala Simple tuu
mkuu moyes ni case ukaweka hela alafu zisifike kwenye akount ya 1xbet unatumia njia gani kuwasiliana na hao beyonic??
 
Hii ni message ambayo utumwa katika namba yako ya simu uliyoiandika kua unatumiaku deposit muda ule ume click deposit, message hii ukuruhusu wewe kufanya taratibu za malipo kwa mtandao unaoutumia eg. Voda, Tigo nk
Message hii uandikwa procedure za malipo ya bill za kampuni simu unayotumia pia vitu hivi muhimu
1. Namba ya kampuni ya 1xbet ambayo ni 400700
2. Kumbukumbu namba ambayo ni 0081bet

Ukisha click kule ktk ku deposit usifanye malipo yoyote kabla ujapokea hii msg ktk namba uliyoiandika kua unaenda kutumia ku deposit
mkuu kuna mawasiliano yyte na hao beyonic in case mtu akikwama sehemu? let say hela hazijafika kwenye acccount ya 1xbet
 
Hili silifahamu maana sijawahi kukwama, ila mwanzo nilikua najaribu ku deposit kwa airtel sikufanikiwa, nikaamua kutumia tigo ambapo kwa tigo nime deposit mara mbili bila kukwama na pesa ziliingia within 1min.
 
Nimewapata MLIPA leo wamepokea nikaongea nao kuhusu hela ambayo haijafika 1xbet, jamaa ananiambia hao 1xbet wasumbufu sana usideposit tena hela huko. Hela yangu wamesema wanairudisha kwe mpesa
Unaweza ukanipa iyo no na mm niongee nao maana tangu jmos network ilivyokua ovyo voda sijapata
 
Back
Top Bottom