Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Screenshot_20180205-195028.png
 
1Xbet wako poa katika ku withdraw pia....nimejaribu muda huu kutoa pesa imeingia, ukweli ni kwamba hakuna sheria zozote za kuhusu bonus katika ku withdraw, mimi line niliyoirejista 1xbet ni airtel lakini nimewithdraw pesa iingie line yangu ya tigo na imeingia. Vile vile salio la bonus bado lipo.

Baada ya kujiridhisha kua naweza kuweka na kutoa bila tatzo acha sasa niongeze mashambulizi kwa Kanji....Kwaheri Premierbet
 
Hahahaha ... safi kamanda.
 
Karibu Mkuu
Wote watakuja huku.
 
Haki mungu 1 baada ya miezi 3 kampuni za bongo zitakimbiwa na woote watu wote xben na betway
 
Kuna app ya computer pia. Nayo iko simple kama ya simu tu

Wakuu naomba anayefahamu promo code ya hawa jamaa 1xbet anitajie maana nataka kujisajili nao leo.

Ila sasa naona wadau mnasema eti ni wasumbufu sana wakati wa kuwithdraw. Hili likoje? Aliyewahi kuwithdraw hela atuambie yeye alifanyaje. Isije ikawa ni matapeli wakatembea na mitaji yetu.
 
Hicho kipengele kiruke tuuu
 
upload_2018-2-5_21-5-22.png

Ukinifata katika hii jiandae kwa kuomba Deeney na Giroud wasipige vichwa wala Alonso na Willian wasifunge freekick......nimeona nizifate hizi Odds nikitegemea msaada wa Hazard kufunga kwa mguu
 
huo udwanzi kuepukana nao niliwawekea namba za kitambukisho cha mpiga kura siku wakizifanyia umafia sasa itakua balaa. BAADA YA HAPO SIJAWAHI KUKUTANA NA SHIDA YOYOTE KWENYE KUWEKA AMA KUTOA PESA
Bhas ngoja nifanye hvo na mm
Naweka ya passport
 
huo udwanzi kuepukana nao niliwawekea namba za kitambukisho cha mpiga kura siku wakizifanyia umafia sasa itakua balaa. BAADA YA HAPO SIJAWAHI KUKUTANA NA SHIDA YOYOTE KWENYE KUWEKA AMA KUTOA PESA
Pamoja sana mkuu. Nimeona nijiunge na hawa jamaa baada ya kushawishiwa na options zao nyingi. Je, kuhusu kuwithdraw wanachukua muda gani kuweka pesa kwenye akaunti yako? Na ukumbuke hawa watu hawana ofisi Tanzania, sasa inakuwaje wakisepa na mitaji yetu?
 
Back
Top Bottom