Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

*DAY 3*
*6HTBXG2*
*1.53 ODDS*

Date 05/02/2018 21:00
Event Watford - Chelsea
Selection Shot

*GOOD LUCK*
 
Wakuu naomba anayefahamu promo code ya hawa jamaa 1xbet anitajie maana nataka kujisajili nao leo.

Ila sasa naona wadau mnasema eti ni wasumbufu sana wakati wa kuwithdraw. Hili likoje? Aliyewahi kuwithdraw hela atuambie yeye alifanyaje. Isije ikawa ni matapeli wakatembea na mitaji yetu.
Jitahidi usikosee Kwenye registration na njia utakayo tumia kuweka pesa ndio njia utakayo tumia kutoa pesa
 
Cricket Afghanistan tick
Tennis tick
Soccer tick
Kuchanganya inasaidia sana si lazma soccer pekee..odds 2.5 won
 
Olbg app nzuri sana predictions za sports zingine 90% accurate
 

Attachments

  • Screenshot_2018-02-05-23-09-42.png
    Screenshot_2018-02-05-23-09-42.png
    19.7 KB · Views: 46
Chelsea ft
X
HT UND 1.5
FT OV1.5
CS PRED
1-1/2-1

IKIPENDEZA ZAIDI 2-2
 
1Xbet wako poa katika ku withdraw pia....nimejaribu muda huu kutoa pesa imeingia, ukweli ni kwamba hakuna sheria zozote za kuhusu bonus katika ku withdraw, mimi line niliyoirejista 1xbet ni airtel lakini nimewithdraw pesa iingie line yangu ya tigo na imeingia. Vile vile salio la bonus bado lipo.

Baada ya kujiridhisha kua naweza kuweka na kutoa bila tatzo acha sasa niongeze mashambulizi kwa Kanji....Kwaheri Premierbet
Yawezekana aliyepata tatizo labda alitaka kutoa mpaka bonus aliyopewa
 
Basketball ngoja nihamie huku maan kwa football nimechezea makofi ya kufa mtu litimu unalipa over 1.5 linakata mauno mwanzo mwisho linatoa under 1.5 jichanganye siku moja lipe under sasa utanena kwa lugha
Miami win
Denver win
 
Chelsea ft
X
HT UND 1.5
FT OV1.5
CS PRED
1-1/2-1

IKIPENDEZA ZAIDI 2-2
HT UND 1.5 ...[HASHTAG]#BOOOOOOOM[/HASHTAG]
NILIWASAHAU HUKU INFO ZILIBADILIKA NKAWAHI KWA GRP WAJIANDAE HT WIN WATTFORD AWAY FINISH NA DRW...
 
Back
Top Bottom