Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dhuuuuu 1xbet, gol likifungwa Kwa penalty halihesabiwi kama
First gol kicking nouma sana
Mkeka ushalost
 
Wakuu anayetumia play master bet online!!
Tafadhali aniambie wapo vipi kwenye uharaka wa kuweka pesa na kutoa
2😱dd zao zipoje
3:wana option ya half with most goal
4:NBA in play wana kila quarter under\over
 
Chelsea alipopata red Watford alikua ana Odds 4 za kushinda kila nikiplace bet haitaki haya Watford kapata goli dah
 
Jitahidi usikosee Kwenye registration na njia utakayo tumia kuweka pesa ndio njia utakayo tumia kutoa pesa

Kwa kuwa wamenitumia password kwa email nadhani nitakuwa nimejiunga kwa email (kwa maana hiyo) lakini mm ningependa kutumia njia ya simu ndio rahisi kutoa pesa.
 
Kuna wakati inabidi ujitoe ufahamu tu.. Kuliwa kawaida... Chelsea win odd 8.02 princess bet. Nimejilipua.
 
Chelsea namwona conte akielekea airport transit to Italy loh
 
Nimeonalist MOJA ya NO REDCARD KWA WANIGER NKAMWONA CHELSEA YUPO NW NAWAZA WALEJAMAA WANAJISIKIAJE NA YULE REFA
Chelsea ft
X
HT UND 1.5
FT OV1.5
CS PRED
1-1/2-1

IKIPENDEZA ZAIDI 2-2
HT UND 1.5 ...[HASHTAG]#BOOOOOOOM[/HASHTAG]
NILIWASAHAU HUKU INFO ZILIBADILIKA NKAWAHI KWA GRP WAJIANDAE HT WIN WATTFORD AWAY FINISH NA DRW...
Good luck ingawa wana redcard
 
Dakika za mwisho nilimpa genoa win odds 16..najilaumu niliweka stake ndogo
 

Attachments

  • Screenshot_2018-02-06-00-40-37.png
    Screenshot_2018-02-06-00-40-37.png
    8.4 KB · Views: 52
Chelsea ft
X
HT UND 1.5
FT OV1.5
CS PRED
1-1/2-1

IKIPENDEZA ZAIDI 2-2
HT UND 1.5 [HASHTAG]#BOOOOOOM[/HASHTAG]
OV 1.5 [HASHTAG]#BOOOOOOOOOOM[/HASHTAG]
2-1 CS
SUBIRIA MKAO WA [HASHTAG]#BOOOOOOOOOM[/HASHTAG]
KAMA ULIIACHA KESHONAYOSIKU
 
Duuuuuh JAMANI NAIPENDAAAA CHELSEA YANGUU SIOLWA VIPIGOOHIVI VYA 3 KILA MECHI CONTE NENDA TU NDUGU UFIKESALAMÀ
 
Atuachie Chelsea yetu jamani siovipigoo hivi kilamtu atupitie NA 3 aiwezekani imekumwa 3 mzukaaa
 
David luiz kaniacha hoi madogo wamemchezesha kombolela patapotea ikabidi apige makofii tu hii utaipatakwa conte[emoji41][emoji41][emoji7][emoji9][emoji7][emoji6][emoji8]4-1

Uwiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom