Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Alafuuuu endelea kuweka UND 4.5 watototooo wanafanyashopping ya magoliiiii KWA Chelsea allah
 
BARUA YA KUMFUKUZA KAZI KOCHA CONTE IMESHAPIGWA MHURI NA BOSS MKUBWA KESHO SANNE TUKUTANE KWENYE PC .LOH
 
upload_2018-2-6_0-52-55.png

BET WON
cc usser
 
Basketball ngoja nihamie huku maan kwa football nimechezea makofi ya kufa mtu litimu unalipa over 1.5 linakata mauno mwanzo mwisho linatoa under 1.5 jichanganye siku moja lipe under sasa utanena kwa lugha
Miami win
Denver win

Sina hamu na Reims mamaeeee ... hata goli moja hakuna, daaah
 
Hakika inplay ingekua inakubali ku place bet mapema kanji angekoma leo.........Game ya Malaga wakati Malaga kapewa Odds 14 WIN na place bet inagoma after 2mins Malaga kascore na kashinda game dah
 
upload_2018-2-6_0-56-34.png

Ikatoka hii....BET WON
 
Attachments

  • upload_2018-2-6_0-56-34.png
    upload_2018-2-6_0-56-34.png
    3.5 KB · Views: 40
Duuuuuh JAMANI NAIPENDAAAA CHELSEA YANGUU SIOLWA VIPIGOOHIVI VYA 3 KILA MECHI CONTE NENDA TU NDUGU UFIKESALAMÀ
Muitaliano Conte km kawaida yao wazee wa mikeka atakua anasubir tu ela yake kwa muhindi

Mkeka wake umeshatick
 
Sina hamu na Reims mamaeeee ... hata goli moja hakuna, daaah
Mkuu Ufaransa league 2 na Ureno ligi kuu yao plus Israel ni ligi ambazo nimesema sitakuja kucheza Option ya magoli wala direct WIN.....Uyu Reimes alikua hajawahi poteza game 8 mfululizo juzi kati alipoteza kwa kibonde wa ligi
 
Leo Reims alipewa odds 3+ kwny direct win

Nliziona nkazitamani.

Ila nkakumbuka lilichotokea kwa mwenzie Lens.

Aisee,
Nkaamua kumpotezea, nafsi ikanambia
"Acha lisije likawa tego hili kama ilvokua kwa Jong PSV na Lens"
 
ULE USHAURI WANGU NAENDELEA KUSHAURI HIZI TIMUKUBWA ZIKIMBILIE GG.OV1.5!2.5 MPAKA FEBR IISHE USHAURI...WAKOKIKAZI NAWAO
 
Dah,
Nipo ndugu

Chelsea bila shaka hajakuacha salama leo
Mkuu huko sigusi direct win nmeisha acha saivi naingia huku 1mins events throw in 0-59 no odds 2. Mech ya chelsea nimempiga mhindi nimepga kama mbili hivi. Direct win na over dah!
 
Mkuu Ufaransa league 2 na Ureno ligi kuu yao plus Israel ni ligi ambazo nimesema sitakuja kucheza Option ya magoli wala direct WIN.....Uyu Reimes alikua hajawahi poteza game 8 mfululizo juzi kati alipoteza kwa kibonde wa ligi
Ni kweli mkuu,

Hasa wafaransa, nna wasiwasi hizi game wanazifix.

Ukijalibu kuchunguza mechi zenye matokeo ya ajabu,

Huwa na odds kubwa sana kwa timu zinawlzotegemewa na wengi.

Mfano Leo:
Reims Leo alkua na 3.38

Lens kipind anaongoza ligi alipigwa home akipewa 1.89
 
Hakika inplay ingekua inakubali ku place bet mapema kanji angekoma leo.........Game ya Malaga wakati Malaga kapewa Odds 14 WIN na place bet inagoma after 2mins Malaga kascore na kashinda game dah
Pole sn

Ilo tatzo liko princess.

1xbet naona wako fasta sn hasa ukitumia web.
 
Nimeonalist MOJA ya NO REDCARD KWA WANIGER NKAMWONA CHELSEA YUPO NW NAWAZA WALEJAMAA WANAJISIKIAJE NA YULE REFA
HT UND 1.5 ...[HASHTAG]#BOOOOOOOM[/HASHTAG]
NILIWASAHAU HUKU INFO ZILIBADILIKA NKAWAHI KWA GRP WAJIANDAE HT WIN WATTFORD AWAY FINISH NA DRW...
Nigerians matapeli tu.

Hawana lolote
 
Back
Top Bottom