Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Inplay nzuri jaman maana unabet huku ukijua hali haalisi iliyopo uwanjani
 
f6e97d79af4d492720da517808dfe6a6.jpg

GDYT MA COACH
KWA HESHIMA YA BAKAYOKO
 
Amechoka jamani anaombaa radhi kwayoote NA amekiri amekosea kuanzisha kile kikosi NA baada ya redkadi imemchanganya KABISA ikabidi abadilishe ndege angani sasa naona landing imekuwa NA Mtetemeko........

Hana SHIDA KWA decision yoyote kama mnavyofikiria amefanya wajibu wake wachezaji wamejaribu NA mengine awakuyafanya KABISA easy .....we n kocha wengine wangeanza boss naomba radhi msinifukuze loh
 
Am not worried tomorrow is another day I can be n Chelsea or else WHR...doh..
 
Amechoka jamani anaombaa radhi kwayoote NA amekiri amekosea kuanzisha kile kikosi NA baada ya redkadi imemchanganya KABISA ikabidi abadilishe ndege angani sasa naona landing imekuwa NA Mtetemeko........

Hana SHIDA KWA decision yoyote kama mnavyofikiria amefanya wajibu wake wachezaji wamejaribu NA mengine awakuyafanya KABISA easy .....we n kocha wengine wangeanza boss naomba radhi msinifukuze loh
Hana chochote cha kutuambia kwa ujinga alofanya.

Kwa usalama wake,
Aje humu na bakayoko waje watuombe radhi na sisi huku wazee wa mikeka.

Wametulia hasara leo
 
*PONGEZI*

Kabla ya yote napenda kutoa shukrani zangu za dhati kabisaa kwa wanafamilia woote humu ndani,.
2_ Mimi ni mgeni humu ndani ninakama mwezi1 na cku kazaa tu lakini nimejifunza vitu vingi Sana kuhusu betting.
3_ Mimi jinsia yangu ni ( KE ) nimeamua kuchagua kutafita pesa kwanjia ya kubet coz kwangu mm naona ninjia halali kwangu kuliko kujiuza ukizngatia na maisha jinsi yalivyo sasa hapa TZ ,jamani kakazangu ninamengi yakusema lakini kubwa napenda kuwashukuru kwa kupata App bora kabisa ya 1*bet ambayo imepelekea Leo kunilaza na futaha ya kuingiza elfu60 wakiti tangia huu mwaka uwingie cjawai kuila ktk betting zingine ,Nimeamua Ku delete App zoote ktk kisimu changu nimebaki na hii tu labda nitaongeza Meridian bet.
Nimefatilia mda mrefu humu watu wakilalamika kuhusu kushindwa kujiunga,deposit & withdraw lakini nimegundua ni uzembe wao tu mm nime download App Leo nime deposit Leo nime bet Leo nime deposit Leo bila shida yoyote kwakutumia namba yangu ya TIGO ,Kama nilivyosema apo mwanzo cna mengi kakazangu nimeona nitoe tu shukrani zangu za dhati kabisa kwenu ,naomba mnipokee ktk familia yenu na mtambue uwepo wangu .

Kama nimekosea mnisamee jamani mm binaadamu kamu binaadamu wengine.[emoji120]

[HASHTAG]#Mapambano[/HASHTAG] yaendeleee
[HASHTAG]#TusaidianeKumfilisiMhindi[/HASHTAG]

By Mrs özil

[HASHTAG]#Gunners4life[/HASHTAG][emoji120]
 
Karibu
 
Back
Top Bottom