Von G
JF-Expert Member
- Jan 21, 2015
- 243
- 247
Thanks mkuuUnder 3 magoli yasifike ma 3 ili mkeka u win na yakifika unarudishiwa pesa yako lakini under 3.5 magoli yasizidi ma 3 una win mkeka
Thanks mkuuUnder 3 magoli yasifike ma 3 ili mkeka u win na yakifika unarudishiwa pesa yako lakini under 3.5 magoli yasizidi ma 3 una win mkeka
Wamepigwa sana inaonekana hahaaprincess naona wametoa baadhi ya option sijui wamechukua za uso sana
itakua umekosea me mbona ni sekunde tu yani sms ya tigopesa ikija kwangu na kwenye account ngoma ishasomaWadau habari zenu,hii 1×bet nimedepost ela toka jana pesa haijaingia kwenye account wanashida gani?
Unaweza nisaidia namna unavyodeposit ili nijue wapi nimekoseaitakua umekosea me mbona ni sekunde tu yani sms ya tigopesa ikija kwangu na kwenye account ngoma ishasoma
Nyie wanawake ndiyo tunao watafta*PONGEZI*
Kabla ya yote napenda kutoa shukrani zangu za dhati kabisaa kwa wanafamilia woote humu ndani,.
2_ Mimi ni mgeni humu ndani ninakama mwezi1 na cku kazaa tu lakini nimejifunza vitu vingi Sana kuhusu betting.
3_ Mimi jinsia yangu ni ( KE ) nimeamua kuchagua kutafita pesa kwanjia ya kubet coz kwangu mm naona ninjia halali kwangu kuliko kujiuza ukizngatia na maisha jinsi yalivyo sasa hapa TZ ,jamani kakazangu ninamengi yakusema lakini kubwa napenda kuwashukuru kwa kupata App bora kabisa ya 1*bet ambayo imepelekea Leo kunilaza na futaha ya kuingiza elfu60 wakiti tangia huu mwaka uwingie cjawai kuila ktk betting zingine ,Nimeamua Ku delete App zoote ktk kisimu changu nimebaki na hii tu labda nitaongeza Meridian bet.
Nimefatilia mda mrefu humu watu wakilalamika kuhusu kushindwa kujiunga,deposit & withdraw lakini nimegundua ni uzembe wao tu mm nime download App Leo nime deposit Leo nime bet Leo nime deposit Leo bila shida yoyote kwakutumia namba yangu ya TIGO ,Kama nilivyosema apo mwanzo cna mengi kakazangu nimeona nitoe tu shukrani zangu za dhati kabisa kwenu ,naomba mnipokee ktk familia yenu na mtambue uwepo wangu .
Kama nimekosea mnisamee jamani mm binaadamu kamu binaadamu wengine.[emoji120]
[HASHTAG]#Mapambano[/HASHTAG] yaendeleee
[HASHTAG]#TusaidianeKumfilisiMhindi[/HASHTAG]
By Mrs özil
[HASHTAG]#Gunners4life[/HASHTAG][emoji120]
Bet wonView attachment 690887 weka millioni
ismailhangokwenye accont nabonyeza deposite kisha mtandao ninaotumia then naingiza kiasi ninachotaka kudeposite kisha nasubmit. nasubuli kutumiwa push sms kwenye simu yangu. sms ukishatumiwa fuata maelekezo ya sms {muhimu hakikisha kiasi ulichorequest kwenye account yako ndicho unachoweka wakati wa kutuma pesa. vinginevyo itakula kwako.}
Hapo sasa kwenye kiasi nadhan ndipo nilipokosea niliweka kiasi kikubwa zaid ya nilichorequestkwenye accont nabonyeza deposite kisha mtandao ninaotumia then naingiza kiasi ninachotaka kudeposite kisha nasubmit. nasubuli kutumiwa push sms kwenye simu yangu. sms ukishatumiwa fuata maelekezo ya sms {muhimu hakikisha kiasi ulichorequest kwenye account yako ndicho unachoweka wakati wa kutuma pesa. vinginevyo itakula kwako.}
ishakula kwako deposite upya fata maelekezo ya smsHapo sasa kwenye kiasi nadhan ndipo nilipokosea niliweka kiasi kikubwa zaid ya nilichorequest
Usimuhukumu![emoji134].Mambo huwa noma sometimes, 1XBET hatuko Salama always.itakua umekosea me mbona ni sekunde tu yani sms ya tigopesa ikija kwangu na kwenye account ngoma ishasoma
Hapo sasa kwenye kiasi nadhan ndipo nilipokosea niliweka kiasi kikubwa zaid ya nilichorequest
Usimuhukumu![emoji134].Mambo huwa noma sometimes, 1XBET hatuko Salama always.
Mi mwenyewe hapa nina Hela nimeWithdraw tangu ijumaa haijafika hadi leo.
Huwezi amini mpaka hili jambo likukute[emoji134][emoji24]
Vipi k withdraw mkuu, kuna mzgo wangu jana nmemlamba ila bado sjataka kuotoaBado naamini kuna vitu mnakosea. Kama huyu mdau hapo juu ... alispecify anataka kuweka kiasi fulani, natumaini alipata ile USSD Push Message ambayo iliconfirm request yake na amount. Lkn yeye akalipia kiasi tofauti. Hapo lzm utasubiri sn hiyo hela kuingia kwny account ... coz umeshachanganya madesa.
Mimi nadeposit sana tu ... na sijapata issues zozote ukiacha ila mara ya kwanza kbs wkt nimejiunga nao nilideposit kabla hata sijapata USSD Push message (nahisi kulikuwa na shida ya mtandao siku hiyo).
huenda alikosea kuingiza namba wakati wa kuwithdraw huyuBado naamini kuna vitu mnakosea. Kama huyu mdau hapo juu ... alispecify anataka kuweka kiasi fulani, natumaini alipata ile USSD Push Message ambayo iliconfirm request yake na amount. Lkn yeye akalipia kiasi tofauti. Hapo lzm utasubiri sn hiyo hela kuingia kwny account ... coz umeshachanganya madesa.
Mimi nadeposit sana tu ... na sijapata issues zozote ukiacha ila mara ya kwanza kbs wkt nimejiunga nao nilideposit kabla hata sijapata USSD Push message (nahisi kulikuwa na shida ya mtandao siku hiyo).
Vipi k withdraw mkuu, kuna mzgo wangu jana nmemlamba ila bado sjataka kuotoa