Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

4509c655cce19d9b72155a4c718831ec.jpg
 
Yaani push SMS ndo IPO na beyonic yaan M LIPA ...ila hiii nyingine ya e lipa ndo nimeona wanazingua mwenyew toka jumamosi nimedopist
mkuu kwangu naona hawa e Lipa wako poa sana. kwanza hawana makato pindi unapodepost yaani kama m pesa yako ina buku mbili unadepost yoote na ibaingia vizuri tu. ila sasa inatakiwa pale unapokamilisha muamala inabidi usumbili SMS yao na ya voda ( SMS zinatokea ndani ya sekunde kadhaa). baada ya SMS za uthibitisho, rudi kule kwenye deposit ka click pale pameandikwa "complete". FASITA MPUNDA UMEINGIA
 
Pole sn kamanda.

Nina hakika Prof angekuwa na ushirikiano wa kushare ile mikaka yake ya "10 Min X" .. tungesogeasogea kwny kupunguza hasara. Ila yeye amechagua kula peke yake.

Aksante sana, Prof walimuumiza sana kushangilia mkeka wake kuchanika.

Hivi Fedha zako kutoka M-Lipa ulisharejeshewa?
 
Aksante sana, Prof walimuumiza sana kushangilia mkeka wake kuchanika.

Hivi Fedha zako kutoka M-Lipa ulisharejeshewa?


Yes walinirudishia 1xbet ... niliwasiliana nao kwa email. Ila ilichukua muda kdg baada ya back and forth emails (km siku 2 km sio 3).
 
Wadau hii bonus kwenye Ixbet unaitumiaje, nimejarb naona haikubali
 
1Xbet wako poa katika ku withdraw pia....nimejaribu muda huu kutoa pesa imeingia, ukweli ni kwamba hakuna sheria zozote za kuhusu bonus katika ku withdraw, mimi line niliyoirejista 1xbet ni airtel lakini nimewithdraw pesa iingie line yangu ya tigo na imeingia. Vile vile salio la bonus bado lipo.

Baada ya kujiridhisha kua naweza kuweka na kutoa bila tatzo acha sasa niongeze mashambulizi kwa Kanji....Kwaheri Premierbet
Bro iv ukitumia kudeposit 1xbet kwa kutumia airtel wakala wa uku bongo ni uyo uyo M lipa kama voda au.
 
Wakuu huu ni ushuhuda leo nimediposit 1xbet kupitia tigo pesa ilhali nilijiunga na namba ya voda na mpunga umesoma fresh tu .
 
Afadhali jana nilifanikiwa kujiunga na 1xbet, yaani wana options za kumwaga hadi rakhaaaa!!!
upload_2018-2-6_17-49-51.png
 
Wakuu huu ni ushuhuda leo nimediposit 1xbet kupitia tigo pesa ilhali nilijiunga na namba ya voda na mpunga umesoma fresh tu .
unafanyaje mkuu maana na mm nlijiunga na voda ila natamani kudepost kwa tigo
 
mkuu kwangu naona hawa e Lipa wako poa sana. kwanza hawana makato pindi unapodepost yaani kama m pesa yako ina buku mbili unadepost yoote na ibaingia vizuri tu. ila sasa inatakiwa pale unapokamilisha muamala inabidi usumbili SMS yao na ya voda ( SMS zinatokea ndani ya sekunde kadhaa). baada ya SMS za uthibitisho, rudi kule kwenye deposit ka click pale pameandikwa "complete". FASITA MPUNDA UMEINGIA
Mkuu mbona mm jana nimedopsit kwa M LIPA nikakatwa?
 
m lipa wanakata ila eLipa hawakati...eLipa in ile inakuletea option ya kujaza namba ya sim na E mail, eLipa haina push massage
Nielekeze nifanyaje nihamie kwa eLIPA mkuu maana naona hawa mLIPA wananipiga sana hela wakati nnapodeposit.
 
daah hawa eLipa mbona siwaelewi? kwenye kumbukumbu namba unjaza nn?na namba ya kampuni ni ipi?
 
Back
Top Bottom