Buddy
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 7,117
- 8,885
Ulibadilisha namba ya Simu, kule kwenye Setting za 1XBET?Wakuu huu ni ushuhuda leo nimediposit 1xbet kupitia tigo pesa ilhali nilijiunga na namba ya voda na mpunga umesoma fresh tu .
Sioni sehem ya kupate Statement ya Voda/M-pesa, nifanyaje?Yes, nliwatumia.
namba ya kumbukumbu unajaza nini?E-lipa nazani wapo vzuri kuliko M-lipa kwanza hawana makato na before ujaenda fanya malipo m-pesa wanakupa namba ya company na namba ya kumbkumb so ukienda kudeposit kwa m-pesa msg ikirudi unatakiwa kurudi una click complete na ikitokea mtandao umezingua pesa inachelewa ingia lakin pesa haiwezi potea sababu ya kumb no.makato zero huku me naitumia vzuri tu
Sioni sehem ya kupate Statement ya Voda/M-pesa, nifanyaje?
Uliipataje hiyo Statement? Naomba maelezo Mkuu.
Kuna hela yangu niliWITHDRAW, Hajafika...wananiambia nitume SCREENSHOT YA M-PESA STATEMENT.
Aaahh...Pouwa Mkuu.Hapana mm issue yangu ilikuwa kwny Deposit sio Withdrawal.
Kama unatumia push msg unaandika namba ya ko ya tigo na siyo ile ya vida uliyo jisajiliaunafanyaje mkuu maana na mm nlijiunga na voda ila natamani kudepost kwa tigo
ok hapo nimekupataKama unatumia push msg unaandika namba ya ko ya tigo na siyo ile ya vida uliyo jisajilia
Hapana ni wakati wa zile process za kupata push msg. Nikaweka namba ya tigo wakanitumia msg nikafanya deposition ikakubaliUlibadilisha namba ya Simu, kule kwenye Setting za 1XBET?
Sawa..no sure in betting lakini tuombeView attachment 691760 kopa kwa jamaa,rafiki,co-worker hata weka bond kesho upate marambili yake..
Basketball ligi za belgian na sweden hapo
ni kweli hazirudi !!nimeuliza kwenye eLipa kwenye reference namba unaweka account no yako au unajaza nini hapo??Naona PUSH MSG toka 1xbet hazirudi, ni sheedar
Ref number nadhan ni ile wanayokutumiani kweli hazirudi !!nimeuliza kwenye eLipa kwenye reference namba unaweka account no yako au unajaza nini hapo??
naona inaanza na herufi sio namba unaziandika kama zilivyo?naomba mwenye uzoefu na eLipa aniambie nsije nkakwama wakuuRef number nadhan ni ile wanayokutumia
Nimejarib elipa naona imekubal, ref no ni hiyo wanayokutumia na inaanza na herufiRef number nadhan ni ile wanayokutumia
ANGALIZO, kwenye hiyo page ulotumiwa chin kabisa kuna sehem wameandika COMPLETE. usibonyeze mpaka uwe ushatuma hela voda na wamerudisha msg ndio unanda kubonyeza COMPLETE hela inadoma kwa AccountNimejarib elipa naona imekubal, ref no ni hiyo wanayokutumia na inaanza na herufi