faokipe
JF-Expert Member
- Jan 20, 2015
- 1,017
- 1,182
hujanielewesha vizuri na hizo herufi unaziandika?Nimejarib elipa naona imekubal, ref no ni hiyo wanayokutumia na inaanza na herufi
hujanielewesha vizuri na hizo herufi unaziandika?Nimejarib elipa naona imekubal, ref no ni hiyo wanayokutumia na inaanza na herufi
Kuna M-Lipa na E-Lipa....!!!mkuu kwangu naona hawa e Lipa wako poa sana. kwanza hawana makato pindi unapodepost yaani kama m pesa yako ina buku mbili unadepost yoote na ibaingia vizuri tu. ila sasa inatakiwa pale unapokamilisha muamala inabidi usumbili SMS yao na ya voda ( SMS zinatokea ndani ya sekunde kadhaa). baada ya SMS za uthibitisho, rudi kule kwenye deposit ka click pale pameandikwa "complete". FASITA MPUNDA UMEINGIA
Lazima uziandike kama walivyokutumiahujanielewesha vizuri na hizo herufi unaziandika?
Hiyo bonus ni kwa ajili ya 1XGames...na sio kwajili ya footballWadau hii bonus kwenye Ixbet unaitumiaje, nimejarb naona haikubali
poa poa nasikia hakuna makato ni kweli?Lazima uziandike kama walivyokutumia
1xgames ni zipi mkuuHiyo bonus ni kwa ajili ya 1XGames...na sio kwajili ya football
Zipo kwenye website yao kuna sehemu imeandikwa 1XGames1xgames ni zipi mkuu
Sijawahi tumia airtel, mi huwa natumia tigo...airtel kwangu haikubaliBro iv ukitumia kudeposit 1xbet kwa kutumia airtel wakala wa uku bongo ni uyo uyo M lipa kama voda au.
Mi pia siku zote na deposit kwa tigo pesa...ingawa niliji register kwa airtelWakuu huu ni ushuhuda leo nimediposit 1xbet kupitia tigo pesa ilhali nilijiunga na namba ya voda na mpunga umesoma fresh tu .
Hawakati ni burepoa poa nasikia hakuna makato ni kweli?
Umecheza ya kampuni gani?Week hii imekua ya furaha kwangu nilicheza jackpot na soka bet ya mechi kumi.na tatu nikapata mechi kumi.na
Moja nikawa nmeweka.kibindoni 1000000
okay nimejaribu na nimefanikiwa shukrani.sana mkuuHawakati ni bure
Ok nimeona kumbe soccerbetUmecheza ya kampuni gani?
Poa kazi kwako na mhindiokay nimejaribu na nimefanikiwa shukrani.sana mkuu
jana kanitungua hapa natoka kugombana na shemeji yakoPoa kazi kwako na mhindi
Marseille ananogesha sikuBourg Peronnas 0 - 3 Marseille deuuh dkk ya 17 tu