Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
21 Bourg Peronnas 0 - 4 Marseille aiseeh n 4+ sijui odds zilikuwaje.
Usilo lijua we acha tu21 Bourg Peronnas 0 - 4 Marseille aiseeh n 4+ sijui odds zilikuwaje.
Walishatandikwa kimokoPaderborn vs Bayern Munich game kali sana. Hawa vijana naona wamekamia kweli ipo live SS7.
Pole sana chief mi bayern nimemwagia pesa yote nikijua kipindi cha pili atatusua kona za kutosha maan cha kwanxa wametisha matokeo yake wameishia kukata viuno tu kwa uwanja daaaBesiktas 2+ imewashinda duuh ... kazi nzr ilofanywa na Marseille & Bayern haina maana tena ...
Sijui tubet vp aiseeee ...
Ni kweli leo hata mimi zimegoma itakuwa kuna shidaNaona PUSH MSG toka 1xbet hazirudi, ni sheedar
Mshikaji wangu umerudi dah! Kitambo sana.![]()
Twende Kazi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uoga wangu ndio umasikini wangu Bayern walipo fika goal 4 nikataka kuweka over 5.5 roho ikasita, tuje kwa Marseile walipo fika goal 4 nikataka niweke over 6.5 mi ****** kweli.
Alafu sasa ukistake unashangaa gori aziingii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapo kwa bayan hata mm
Nmekua mjinga kama ww
Nmerudi mkuu natafuta hela ya Valentine... kuna mtu nili mpromise zawadi ya IST.. sasa naona siku zimekaribia..Mshikaji wangu umerudi dah! Kitambo sana.
Aiseee acha kbsa hii kaz n ngumu sanaAlafu sasa ukistake unashangaa gori aziingii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]