Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Haaa haa haa dhaaaaaaaa acha tu
Mkuu utazan waliambizana
Hahahahaaa ungejaribu na basket mkuu hakika mimi leo kidogo nimekuza kamtaji ila ni hiz ligi za watoto aisee mhindi kuke naona kajisahau kidgo
 
Dah! Wangese sana acha mi nipumzike kwanza aisee maisha yanapo endea si pazur yaaan ***** nikiweka mkeka lazima limoja liharibu psg mamaeeeeeeeee.
Aiseee hata mm kwa vipigo
hvi naona nkikufuata kwenye likizo
Tu
 
Hahahahaaa ungejaribu na basket mkuu hakika mimi leo kidogo nimekuza kamtaji ila ni hiz ligi za watoto aisee mhindi kuke naona kajisahau kidgo
Dhaaaaaaaa ngoja nitafte lig ya watoto
Basketball naona hua wanawekana
Sana vikapu
 
Dah! Wangese sana acha mi nipumzike kwanza aisee maisha yanapo endea si pazur yaaan ***** nikiweka mkeka lazima limoja liharibu psg mamaeeeeeeeee.
Mkuu usikate tamaa mapema mhindi bado anadeni kubwa sana twamdai hamia kwa kive basket ujaribu na huko mi football sina bahat nayo jana nikaweka over 1.5 kwa trabzospor na mwenzie ***** yakatoka 0-0 leo napo nikawaendea cyprus kwa under 3.5 dadeki kipind cha kwanza tu 0-3 cha pili sasa wacha afumuliwe mtu magori
 
Dhaaaaaaaa ngoja nitafte lig ya watoto
Basketball naona hua wanawekana
Sana vikapu
Kabisa mkuu mi nimeingia na buku tatu but mpaka saa hii nadhani mhindi huko aliko anajuta namdai pesa mingi sana huyu
 
Mkuu usikate tamaa mapema mhindi bado anadeni kubwa sana twamdai hamia kwa kive basket ujaribu na huko mi football sina bahat nayo jana nikaweka over 1.5 kwa trabzospor na mwenzie ***** yakatoka 0-0 leo napo nikawaendea cyprus kwa under 3.5 dadeki kipind cha kwanza tu 0-3 cha pili sasa wacha afumuliwe mtu magori
Mkuu dah! Hata basket nasikia baridi kujaribu vipigo sio vya nchi hii.
 
Hahaha usiogope aisee nikurisk tu maan hii biashara bila kurisk haiendi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nikirudi upya ndio ntakuja na hyo system, mhindi katoka kaaga ww sio bure [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yap mi huwa nachanganya naenda NBA kidgo narudi na ligi ambazo hazifamiki sana hususani za hawa watoto wanajitahid kufumuana
Dhuuuuu ngoja nije huko nione kama
Ntarudisha Walau nusu hasara
 
IMG_20180207_003340.jpg

IMG_20180207_003402.jpg

[HASHTAG]#Green[/HASHTAG]
 
Mm nimetoa hela saa 7 mchana. Kwenye account wameandika approved. Ila kweny m pesa haijasoma mpaka sasa
Hapa ndo balaa la 1XBET, Ukiipata hiyo Omba Mungu sana.

Utaambiwa Screenshot M-pesa Statement ili waone kaka Tarehe hiyo Hela haikuingia! Yaaan Tafrani.
 
Pole sn kamanda.

Nina hakika Prof angekuwa na ushirikiano wa kushare ile mikaka yake ya "10 Min X" .. tungesogeasogea kwny kupunguza hasara. Ila yeye amechagua kula peke yake.
Mkuu, naona umeniita...
 
Back
Top Bottom