Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

e0fb70a31270e9eb034532e52ef9f6d2.jpg
Tupo kazini
 
Hahahahaaa....bet won...kwa Mara ya kwanza mhind kalala na viatu
 

Attachments

  • 1517975535221.png
    1517975535221.png
    37.9 KB · Views: 46
Vikapu 296 ... hawa vijana wa NBA G - League hataree sn ... nliwapa Over 233.5 kwa uwoga kumbe wamepiga vikapu 63 zaidi ... Lol !


574f746bb78e264ff258bbd51aa4e51f.jpg




b18322007742f99409ca92c53039759e.jpg



However, hizi kazi zote nzr Besiktas ameziharibu, haina maana tena.
Pendelea kucheza single bet
 
Hapa ndo balaa la 1XBET, Ukiipata hiyo Omba Mungu sana.

Utaambiwa Screenshot M-pesa Statement ili waone kaka Tarehe hiyo Hela haikuingia! Yaaan Tafrani.
Ila baada ya masaa 24 inarudi Kwenye account. Kama una shida nayo ni tatizo sana
 
Toka jana najaribu kudeposit pesa 1×bet push mesej haiji kuna anae pata tatizo kama hili wadau
Mimi nadeposit bila matatizo... ila kwa beyonic... E lipa inazingua... Huwa najaribu hata mara tano ndio napata msg ya kulipia... Usifanye Muamala bila msg ya kulipia
 
Screenshot_20180207-083606.jpg

On a short commercial break!!
Vp wata fikisha vikapu 230 kwel hawa??
Nataka niwape under
 
Golden State Worriors ...

Omerta, nimeamini maneno yako sasa ... hawa jamaa kwli saiv hawaaminiki kwa direct win.
 
Back
Top Bottom