msondomba
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,928
- 2,443
Unatumia njia gani mkuu ku deposit. Nataka ni deposit leo mm natumiaga hao beyonic sijui ndio M lipaMimi nadeposit bila matatizo... ila kwa beyonic... E lipa inazingua... Huwa najaribu hata mara tano ndio napata msg ya kulipia... Usifanye Muamala bila msg ya kulipia
kama unabuku tutest mitambo hapa odd 42+
View attachment 691793
wakuu mbn 1xbet game kwangu naona chache tu?scot.holland.swts n.k sizion
![]()
Aiseee leo kweli n sku mbaya
cjawah kulos Kia hiki yan *******
Wote wa 3 wamescore Kwa bichwa
***** zao
duuh pole sana
Hahahaha mkuu sikucheki kwa mabaya maan umenikumbusha kuna day moja niliweka team 4 halaf stake mlima kilimanjaro pote pakawa na jezi nyekundu huo mkeka sitakuja kusahau daaa umenikumbusha mbali kinouma
Dhaaaaaaaa ngoja nitafte lig ya watoto
Basketball naona hua wanawekana
Sana vikapu
Mkuu dah! Hata basket nasikia baridi kujaribu vipigo sio vya nchi hii.
Hapa ndo balaa la 1XBET, Ukiipata hiyo Omba Mungu sana.
Utaambiwa Screenshot M-pesa Statement ili waone kaka Tarehe hiyo Hela haikuingia! Yaaan Tafrani.