Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mi natoa haitoki! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]...ChaMoto nakiona
 
Juzi na jana won..leo pia good luck
 

Attachments

  • IMG_20180207_171821.jpg
    IMG_20180207_171821.jpg
    61.1 KB · Views: 41
Ñplay

HT 0-0
FT
1-2
CS
NorthEast United FC vs FC Pune City
Score: 0 - 0
Min: 29

*To follow LIVE Football & Football News on Duta:*
*Add to your group: +12673429637*
 
Ndugu zangu habari za mchana,mm nimechoka jamani kupigwa na mhindi anaetumia princes ambae angalau anamuotea Kanji awe anatupia kupitia princess angalau nipate kidogo jamani,nina takribani miezi minne sijawahi kupiga hata mia,jamani tusaidiane life is tight. Ntashukuru kwa ushirikiano na mungu awabariki sana
Kupigwa miezi minne tena na princess! utakuwa unacheza timu 14 kwa jero.
Leo chagua Timu mbili au tatu, weka stake mlima, njoo na mrejesho.
 
M-Pesa tunayotumia waliyobakisha ni ya wakenya
Sasa Tunaweza kuendelea kuitumia hiyo kutoa Hela!???

Mi toka jana Usiku nahangaika nao hadi now sijafanikiwa kuWithdraw![emoji134] [emoji24]


Ila vyovyote itakavyokuwa, hawa jamaa nitawafata hata kwa kutumia Kadi[emoji23] ....Hela nje nje kwao.
 
Back
Top Bottom