Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hata mm daaah...kwahiyo tigopesa haifanyi kazi tena kwao? So sad na nina balance mlima kule zaidi ya laki 4...tunafanyaje hapo wakubwa
Wako poa options zao ni utajiri mtupu daaaah
Mbona nimejaribu kudeposit 5000 muda huu imeingia kwa tigopesa na push mobile msg ilikuja?
Sidhani kama wamefuta hizi huduma jamani?
 
Mkuu ebu fanya kurejesha yale makokoro twende sawa na mhindi
Mmmh hili hapa mkuu ila sijalilipia bado
2018-02.png
 
Tottenham 3+
Sevila 3+
NAC 3+
Roda 3+
Montpelier 3+

Total odds 12
 
wakuu habarini...!!!
Wakuu nimekuwa nikibett in play kwa options za kona na over 0.5 in first time, naombeni msaad wa options zingine za in play zenye uhakika angalau hata wa asilimia 90 niwe nazitumia mana hizo options zangu huwa natumia kuangalia kona kama zimepatikana nyingi angalau hata kona 2 au zaidi basi najua mechi hiyo/hizo lazima zitoke na over 0.5 first time, sasa wakati mwingine nachana mikeka mno.
Mbinu nzuri ni kubet inplay kwa mechi husika huku ukiitazama, hapa utaweza ona dalili za option unayotaka kucheza zikijitokeza ndipo ubet.
Mfano : Kama kuna mechi ya Team A na Team B na ikitokea live unaona team A inazidiwa sana yani mpira upo golini kwa team A na team B wanapiga mshutui ktk goli la A ni rahisi sana kuweka team B inayoshambulia itapata idadi fulani ya Kona
 
thanx japo kwa mfano sina access ya kuangalia mechi ila na site ya kona na mgoli, hapo inakaaje Mr. Wise?
 
thanx japo kwa mfano sina access ya kuangalia mechi ila na site ya kona na mgoli, hapo inakaaje Mr. Wise?
Cheki livescore123.com, nani ametawala mchezo, ktk maeneo hayo ya mashuti, possesion nk. hii nayo pia usaidia, ingawa sometimes mambo ukataa
 
Back
Top Bottom