Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sasa Tunaweza kuendelea kuitumia hiyo kutoa Hela!???

Mi toka jana Usiku nahangaika nao hadi now sijafanikiwa kuWithdraw![emoji134] [emoji24]


Ila vyovyote itakavyokuwa, hawa jamaa nitawafata hata kwa kutumia Kadi[emoji23] ....Hela nje nje kwao.
Mkuu we malipo yako, yapo approved? Coz m yamekuwa approved ila mzgo hauingii kwa simu
 
Siku moja moja kuonja SUMU ya PANYA si mbaya
a76a55b2955787026f5b15c4fd454296.jpg
 
Kupigwa miezi minne tena na princess! utakuwa unacheza timu 14 kwa jero.
Leo chagua Timu mbili au tatu, weka stake mlima, njoo na mrejesho.
Daaaaah mkuu pole sana daaah Yani nimecheka sana timu 14 kwa jero[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa Tunaweza kuendelea kuitumia hiyo kutoa Hela!???

Mi toka jana Usiku nahangaika nao hadi now sijafanikiwa kuWithdraw![emoji134] [emoji24]


Ila vyovyote itakavyokuwa, hawa jamaa nitawafata hata kwa kutumia Kadi[emoji23] ....Hela nje nje kwao.
Hata mm daaah...kwahiyo tigopesa haifanyi kazi tena kwao? So sad na nina balance mlima kule zaidi ya laki 4...tunafanyaje hapo wakubwa
Wako poa options zao ni utajiri mtupu daaaah
 
wakuu habarini...!!!
Wakuu nimekuwa nikibett in play kwa options za kona na over 0.5 in first time, naombeni msaad wa options zingine za in play zenye uhakika angalau hata wa asilimia 90 niwe nazitumia mana hizo options zangu huwa natumia kuangalia kona kama zimepatikana nyingi angalau hata kona 2 au zaidi basi najua mechi hiyo/hizo lazima zitoke na over 0.5 first time, sasa wakati mwingine nachana mikeka mno.
 
Back
Top Bottom