Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Psg wangese sijui wamescore goal kwa kichwa?
Alafu sasa ukistake unashangaa gori aziingii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dhuuuuu ***** kama
Wamescore Kwa kichwa nmeisha
Mapilipili kanilazanjaaa
 
Vikapu 296 ... hawa vijana wa NBA G - League hataree sn ... nliwapa Over 233.5 kwa uwoga kumbe wamepiga vikapu 63 zaidi ... Lol !

574f746bb78e264ff258bbd51aa4e51f.jpg

b18322007742f99409ca92c53039759e.jpg

However, hizi kazi zote nzr Besiktas ameziharibu, haina maana tena.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alafu mhindi huwa anawahi kuweka lost ila mpaka sasa siioni [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nouma sana aiseeee ikiwa lost
Dk 0 ameshaweka
 
Vikapu 296 ... hawa vijana wa NBA G - League hataree sn ... nliwapa Over 233.5 kwa uwoga kumbe wamepiga vikapu 63 zaidi ... Lol !

574f746bb78e264ff258bbd51aa4e51f.jpg

However, hizi kazi zote nzr Besiktas ameziharibu, haina maana tena.
upload_2018-2-7_11-22-39.png
teh teh hapa ndo umuhimu wa dc 12 huonekana
 
6692f1c567f26ef74b2aa597751754e2.jpg

Aiseee leo kweli n sku mbaya
cjawah kulos Kia hiki yan *******
Wote wa 3 wamescore Kwa bichwa
***** zao
Hahahaha mkuu sikucheki kwa mabaya maan umenikumbusha kuna day moja niliweka team 4 halaf stake mlima kilimanjaro pote pakawa na jezi nyekundu huo mkeka sitakuja kusahau daaa umenikumbusha mbali kinouma
 
Haaa haa haa dhaaaaaaaa acha tu
Mkuu utazan waliambizana
 
6692f1c567f26ef74b2aa597751754e2.jpg

Aiseee leo kweli n sku mbaya
cjawah kulos Kia hiki yan *******
Wote wa 3 wamescore Kwa bichwa
***** zao
Dah! Wangese sana acha mi nipumzike kwanza aisee maisha yanapo endea si pazur yaaan ***** nikiweka mkeka lazima limoja liharibu psg mamaeeeeeeeee.
 
Back
Top Bottom