Deje
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 991
- 1,006
M lipa wanataka kutustaafisha, dawa hapa ni kudeposit amount ndogo ndogo huku unasikilizia, maana cwez wahama nina bahat nao nzuriDah! Mkuu inamaana tupahame kule?
M lipa wanataka kutustaafisha, dawa hapa ni kudeposit amount ndogo ndogo huku unasikilizia, maana cwez wahama nina bahat nao nzuriDah! Mkuu inamaana tupahame kule?
Hivi unajua 1×bet hawana shida ila hizi mitandao yetu ndio yakiboya aiseee, mi naona mitandao ya bongo yetu aisee alafu ikiwezekana hao m lipa ndio namashaka nao.Nimewapata MLIPA leo wamepokea nikaongea nao kuhusu hela ambayo haijafika 1xbet, jamaa ananiambia hao 1xbet wasumbufu sana usideposit tena hela huko. Hela yangu wamesema wanairudisha kwe mpesa
M lipa ndio wanamatatizo mkuu sio 1×bet maana kutuma kutoa pesa zinapitia kwao iweje kuwe nashida? Alafu na wao wanafanya biashara wanataka kutuibia.M lipa wanataka kutustaafisha, dawa hapa ni kudeposit amount ndogo ndogo huku unasikilizia, maana cwez wahama nina bahat nao nzuri
Tumia hyo push message mkuumkuu ku depost una depost vip? nimeshindwa kuelewa hapa -ONLY for the mobile phone supporting USSD push messages
Mlipa ndio kimeo hapo, ma wanakaa na hela za watu na mwenye hela akikaa kimya basi za kwaoM lipa ndio wanamatatizo mkuu sio 1×bet maana kutuma kutoa pesa zinapitia kwao iweje kuwe nashida? Alafu na wao wanafanya biashara wanataka kutuibia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kunasiku nikaomba wanipigie siwakapiga bhana yaani wanapga lugha ya hatari mimi nkawa nawajib You know youuuuuuu know zikawa nyingi sana, nilivyo ona wanazidi nikawakatia sim [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi hela yangu huwa haiondoki kizembe huwa msumbufu mno sio m lipa sio 1×bet.Mlipa ndio kimeo hapo, ma wanakaa na hela za watu na mwenye hela akikaa kimya basi za kwao
mkuu kwenye kujiregister lazma uweke data kamili kwa maana ya majina umri najiregister hapa kupitia tigoMi hela yangu huwa haiondoki kizembe huwa msumbufu mno sio m lipa sio 1×bet.
Yeah kwenye hayo makampuni ya nnje ndio hivyo mkuu.mkuu kwenye kujiregister lazma uweke data kamili kwa maana ya majina umri najiregister hapa kupitia tigo
Chamuhim ni namba, country,name na passwordmkuu kwenye kujiregister lazma uweke data kamili kwa maana ya majina umri najiregister hapa kupitia tigo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
![]()
Ila hizi za over 2.5 nimesha ziogopa hat kama tim huwa zinatoa mambo yakuwa imefika dakika ya 85 alafu wanastaki kwenye goal 1 unaanza kuachia pumbu ili goli mbili ziingie faster sitaki [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu sihitaji saiv huo mfumo mhindi nahitaji nimvizie inplay tena kwenye yellow card na corner jana nmempga mno inplay kama barcelona kwenye corner nilimpga odds 3.9 hz zakuandaa mikeka mapema kumbe wachezaji wanaingia uwanjani huku wanatumbo la kuhara hata hzo over 1.5 wasitoe sitaki.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unaachia pumbu gol mbili ziingie
Kwa dk 9
Mkuu hivi kufanya muamala kwa USSD push message unatakiwa utumie smart phone??View attachment 690885
Muamala usha soma dk 0 tu kudeposit na sijawah patwa na tatzo lolote natumia Push message
Substitute Player to Score hii option mbona mm siiyoni ipo sehemu ganiBasi ukijiunga nao ndo utaweza kucompare kwa urahisi ...
1xbet wana options nyingi ambazo siwezi kuziandika zote ... hizi ni baadhi ...
i. Headed Goal - Yes/No - yani kama kutakuwa na goli la kufungwa kwa kichwa au lah
ii. Goal directly from free kick - Yes/No
iii. Substitute Player to Score - Yes/No
iv. Hat-trick - Yes/No
v. Brace - Yes/No
vi. Throw-In before Foul - Yes/No
vii. Goal before substitution - Yes/No
viii. Yellow card before substitution - Yes/No
etc etc ....
Hizo option ukiziona kwingine nifahamishe mkuu.
Substitute Player to Score hii option mbona mm siiyoni ipo sehemu gani
Natumia 1xbet