Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Screenshot_20180205-103945.png
Screenshot_20180205-103932.png
Screenshot_20180205-103959.png
Screenshot_20180205-103806.png
Screenshot_20180205-103715.png
Screenshot_20180205-103703.png
u
 
wakuu nisaidieni nifanyaje nimewithdraw pesa 1xbet kwa mpessa toka saa12asubuhi hadi ssa pesa aijafika.mawasiliano yao please
 
Nikishafika hapo kwny My Account (main account) nafanyaje? ... maana niki-tap hapo kwny Main Account inakuja option ya ku-add account.
Kama ipo moja tuu jua hauna bonus. Bonus zinapatikana ukideposit ijumaa unapewa mara mbili ya hele ulodeposit na itumike ndani ya masaa 24.
 
Mchezaji afunge goli mbili ... ni kama tunavyosema "Hat trick" mchezaji akifunga goli 3.
hii secta inawafaa mess & ronaldo. ila huwezi amini hamnaga option lahisi. kuna option ya headed goal n0/yes, na INA odds kuanzia 1.5. nimeijaribu Mara nyingi sana lakini matokeo yake nachaniwa na Tim moja kila mkeka, MF. Jana Barcelona. ukiwa na mtaji ukawekeza 500k kwa mechi 5 kila mechi 100k hata akichana mmoja au wawili bado faida itakuwepo nzuri tu. ila sasa kinachotuumiza ni tamaa na kuwa na mitaji hafifu
 
Naona princessbet wameondoa option ya kona....nimehamia rasmu 1x tangu jana, nashukuru Mr Wise kwa tip yako ya inplay game ya Monaco ov 4.5 ilinipakiasi kidogo cha kuanzia
 
wakuu nisaidieni nifanyaje nimewithdraw pesa 1xbet kwa mpessa toka saa12asubuhi hadi ssa pesa aijafika.mawasiliano yao please
nimeona ukiomba msaada hapa mara kadhaa je umejaribu kuchat nao?

kwa sabab kwa uoande wangu huwa haizidi dakika 15

lakini pia wakati wa kujisajili kama ulitumia quick registration nasiki huwa inazingua kuwiyhdraw
 
hii secta inawafaa mess & ronaldo. ila huwezi amini hamnaga option lahisi. kuna option ya headed goal n0/yes, na INA odds kuanzia 1.5. nimeijaribu Mara nyingi sana lakini matokeo yake nachaniwa na Tim moja kila mkeka, MF. Jana Barcelona. ukiwa na mtaji ukawekeza 500k kwa mechi 5 kila mechi 100k hata akichana mmoja au wawili bado faida itakuwepo nzuri tu. ila sasa kinachotuumiza ni tamaa na kuwa na mitaji hafifu



Baadhi ya hizo option bahati mbaya ziko kwenye ligi maarufu tu. Ni kama option ya corners inavyowekwa kwny makampuni mengine. Lkn wangekuwa wanaweka ktk kila ligi, basi hii option ya "Brace" & "Hat trick" ingefaa sn kwny hizi ligi ambazo wanafungana goli nyingi e.g. Eerste Divisie, England Premier League 2 etc
 
Nimewapata MLIPA leo wamepokea nikaongea nao kuhusu hela ambayo haijafika 1xbet, jamaa ananiambia hao 1xbet wasumbufu sana usideposit tena hela huko. Hela yangu wamesema wanairudisha kwe mpesa
 
1xbet kuwithdraw ni rahisi saana. Sema ukiwa na bonus walokupa huwezi toa hadi uliwe bonus yote au uwin kama wanavyotaka
Mbn mashart makali hvo
Lazma uwin game kadhaa
Ndo uwithdraw
 
Princess bado mtoto ambaye anatambaa bdo hajaanza kusimama [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
nimeona ukiomba msaada hapa mara kadhaa je umejaribu kuchat nao?

kwa sabab kwa uoande wangu huwa haizidi dakika 15

lakini pia wakati wa kujisajili kama ulitumia quick registration nasiki huwa inazingua kuwiyhdraw
M nilitumiaa quick registration baadae nikaupdate information.
 
Back
Top Bottom