911sep11
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,469
- 4,312
kutoa ni ndani ya dk 15 kuweka hazizidi sekunde tanoPamoja sana mkuu. Nimeona nijiunge na hawa jamaa baada ya kushawishiwa na options zao nyingi. Je, kuhusu kuwithdraw wanachukua muda gani kuweka pesa kwenye akaunti yako? Na ukumbuke hawa watu hawana ofisi Tanzania, sasa inakuwaje wakisepa na mitaji yetu?