farah hassan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2016
- 492
- 370
Inplay Estoril sporting lisbon GG odd 2.14
Wanyama kaingia na kafunga. Betting sio kazi rahisThanks Chief ... nlikuja kuiona baadae.
Wote tumefanyiwa hvidaa barca wamenichania mkeka wng goal la kichwa
Mkuu hii hapaKama hautojali screenshot iko kijieneo nikafume hako ka option
Hii hapa mkuu
Kwa game ya Liverpool
![]()
owky owkyFanya registration kwa kutumia email yako
mkuu vp nitumie app au browser ya kawaida nzr ipi
Huku ulipokimbilia wise, umetuacha kwenye mataa na slots.
mkuu vp nitumie app au browser ya kawaida nzr ipi
Aiseee yan kweli hakunaHahaha ...km mm jana Sergio Ramos alichonifanyia. Nlieeka goli la kwanza lipatikane kwa kicking, jamaa si akajitwisha bana ... daah !
Mkuu huku slot zinakua nzuri zaidi maana game 2tu unapata Odds 2. Sema sidhani kama salama kuicha pesa nyingi maana jamaa nasikia hawana Ofsi bongoHuku ulipokimbilia wise, umetuacha kwenye mataa na slots.
mkuu pekua kuna ka option kengine kanaitwa substitution in first half unaweka no nliwah kukutana nako mara moja sijui hata nitakapataje kana kuwa na odd kama ya 1.4 na kushuka chini nikapita nako.Mameee Victor Wanyama ameshachana .... daaah, hii kazi ni ngumu aiseee. Huwezi amini, hakuna option rahisi .
Haa haaa haa dhaaa imebidMameee Victor Wanyama ameshachana .... daaah, hii kazi ni ngumu aiseee. Huwezi amini, hakuna option rahisi .
Thanks chief ngoja nione kama sku itakua
Haa haaa haa dhaaa imebid
Nicheke tu kweli kanji co
Wa kispotsport
Mkuu hizo game kwa iyo option nilizikimbia nilijua fika Barca na Real wakiwa ugenini hawatapata nafasi ya kujitanua na kufunga free, ivyo ingeweza tokea defenders haswa Ramos (Real) na Pique (Barca) wangeweza kupanda kutafuta magoli, na ukiona hao watu ogopa kusema lazima first goal iwe ya kicking.Aiseee yan kweli hakuna
Option rahis mm nliwapa Hawa
Barca na mwinzie wafunge gol
Kwa mguu iwe first,2nd,3rnd
Lkn chaajabu jamaa wote
wamejitwisha ***** haa haa hvo vichwa
Cjui n mawe ama
Sijawahi ulizwa iyo kitusorry jamaa.. promo code za 1xbet ni zipi
mkuu pekua kuna ka option kengine kanaitwa substitution in first half unaweka no nliwah kukutana nako mara moja sijui hata nitakapataje kana kuwa na odd kama ya 1.4 na kushuka chini nikapita nako.
naon kidogo kanafaa
nimeshaipata mze baba..Sijawahi ulizwa iyo kitu