Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hana chochote cha kutuambia kwa ujinga alofanya.

Kwa usalama wake,
Aje humu na bakayoko waje watuombe radhi na sisi huku wazee wa mikeka.

Wametulia hasara leo


MKUUU NILILIONA JINGA PALE LINASISITIZA HALINA WASIWASI KUFUKUZWA LEO wala kesho KAMA MZEE ATAMBAKIZA BASI WOTEE KONYO
 
Karbu sana mrembo
Mu Gunners mwenzang
Welcome kaz kaz
 
Wakuu mwenye mawasiliano ya customer care wa meridian bet naomba anisaidie
 
Wakuu kuna utofauti gan kati ya Under 3 na under 3.5,
 
Mmeamkaje wrote

SIKUNYINGINE YAMAPAMBANO TUNAANZ NA MUNGU TUNAAMALIZA NAE POLENI NA YAJANA YOOTE HERI TUANGALIE MBELE LEO

..NBSIKUNYINGIN PIA STAKE MEDIUM
 
Under 3 magoli yasifike ma 3 ili mkeka u win na yakifika unarudishiwa pesa yako lakini under 3.5 magoli yasizidi ma 3 una win mkeka
Yahw ale was mahesabu ya interval
Wataelewa zaidi alafu unampa Chelsea und 3.5 aisee kazikaziii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…