Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

*Slaus Technologies Tz1 ONLINE EDUCATION*

WANAKULETEA OFA ZIFUATAZO...

[emoji432] *TUNAFUNDISHA JINSI YA KUDISGN BLOG NA WEBSITE* na njinsi ya kukulipa ukiwa na blog na Youtube Channel kwa *Tsh 20,000 tuu!*

[emoji432] *TUNAELEKEZA JINSI YA KUPOST HABARI..AUDIOS..VIDEOS KWENYE BLOG* na njinsi watakavyokulipa... *kwa Tsh 20,000 tuu!*

[emoji432] *Tunaelekeza jinsi ya kutengeneza Youtube channel isiyoibiwa na itakuwa inakuungizia mkwanja kutokana na video utakazo post* kwa *Tsh 20,000 tuu!*

*_PIA TUNATENGENEZA UKIITAJI_*[emoji115][emoji115][emoji115][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Cover na logo..post card n.k kuanzia *Tsh 15,000*
Template..Adsence A/c ... Bei nafuu tu kuanzia *Tsh 15,000*

*-UTAFUNDISHWA TUNAAKIKISHA UMEELEWA KILA KITU ..NI KWA BEI NAFUUU SANAA* Mafunzo online popoteeee tutakufikiaaaaaaa kwa *kuanzia Tsh 20,000 tuu!!*

maelezo zaidi call au sms namba 0625939042:

*_USICHELEWE JIAJIRI KUPITIA BLOG NJOO UTENGENEZEWE BLOG YENYE MALIPO SASA_*

*Ofa zingine*
Tengeneza App ya blog - na kuweka play store; Tsh 25,000

Tengeneza Blog; Tsh 40,000

Badiri blogspot kuwa .com kwa bei nafuu sana - 50,000
Adsence account utaipata kwa bei - 35,000
Kuweka Template; 10,000

Facebook page ya biashara; 15,000

*NB; Utaweza kufanya yote haya kwa simu yako | Smartphone[emoji336], sio lazima kompyuta[emoji335]*

*MAMBO YOTE YA BLOG KARIBUNI BEI ZETU MAELEWANO*
PIGA AU SMS 0625939042
WhatsApp 0713469213
 
Ili usilaumu sana kwenye kudeposite na 1xbet jitahidi utumie mitandao ya airtel na tigo ndo maana wengi wanasema hakuna shida ..ila huu wa voda saivi sijaona option ya push sms wako na elipa ukideposite lazima uliee
 
Nimejaribu sa hivi mpunga chapu umeingia kwenye account
 
Yaani push SMS ndo IPO na beyonic yaan M LIPA ...ila hiii nyingine ya e lipa ndo nimeona wanazingua mwenyew toka jumamosi nimedopist
 
Hawa waKorea leo nataka nitoke hivi ....lkn mbona km roho inasitasita hv?



 
Acha nijaribu wakorea kwenye basketball,
Vp muelekeo unaonaje?
Cc buddy


So far so good Chief ... zile options nilizotaka kuwapa, mmoja ameshatoa. Ningekuwa namsubiri mwingine lkn naona anajikongoja sn. Naona wanauelekeo wa kuvusha 160.5 ...

Ngoja tuone.
 
Wakorea bora kuwapumzisha, naona hawasomeki kabisa


Hahah huyu Seul Thunders ametoka kumpiga Dongbu Promy vikapu vya kutosha juz ...nlihisi leo possibility za kuzingua ni kubwa. Sidhani km atafika vikapu 82 km hawataenda OT.
 
Duh, wadau naona mnalisongesha gurudumu. Long time sana sijaingia humu.

Hope mikeka mnainatembeza. [emoji12][emoji16][emoji16][emoji16].
 
Hahah huyu Seul Thunders ametoka kumpiga Dongbu Promy vikapu vya kutosha juz ...nlihisi leo possibility za kuzingua ni kubwa. Sidhani km atafika vikapu 82 km hawataenda OT.

Juzi waliondoka na hela ndefu, leo pia wamenifilisi... Hopeless kabisa, wamenikatili sana aseeeh
 
Duh, wadau naona mnalisongesha gurudumu. Long time sana sijaingia humu.

Hope mikeka mnainatembeza. [emoji12][emoji16][emoji16][emoji16].


Mkuu umepotea sn ... huku tunang'atwa na kupulizwa. Hatareee sn ...

Siku unajitoa mhanga na stake ndefu timu chache anapita nayo, unalazimika kurudi kwny stake za kawaida 20K, 50K, 10K etc ... unaweka timu 4, anapita nayo. Unajiuliza kwa uoga unaweka 30K odds 1.9 anakupa ule ya kukupoza.
 
Juzi waliondoka na hela ndefu, leo pia wamenifilisi... Hopeless kabisa, wamenikatili sana aseeeh
Pole sn kamanda.

Nina hakika Prof angekuwa na ushirikiano wa kushare ile mikaka yake ya "10 Min X" .. tungesogeasogea kwny kupunguza hasara. Ila yeye amechagua kula peke yake.
 

Nipo boss, majukumu tuu yanakaba na kubana ingawaje nimepunguza kasi ya kuweka mzigo ila tupo pamoja ninapopata nafasi nawekaga mzigo. Ila mambo ya timu lundo nilishaachanaga nayo kitambo . Nikipataga wasaa huwa nachezaga single bets tuu naweka mzigo tena za basketball inplay.
 
Hakikq inplay raha sana full kunyoshana na huyu mla pilipili wadau tujaribu basket hususan kwenye over na under tusilazimishe football tu uchawi wa hyu mhindi huku haupo hahaha
 

Attachments

  • Screenshot_2018-02-06-15-42-38.png
    18 KB · Views: 40
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…