Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
Ya wapi hii mkuu koncho.UAI Urquiza win
Mbona nimejaribu kudeposit 5000 muda huu imeingia kwa tigopesa na push mobile msg ilikuja?Hata mm daaah...kwahiyo tigopesa haifanyi kazi tena kwao? So sad na nina balance mlima kule zaidi ya laki 4...tunafanyaje hapo wakubwa
Wako poa options zao ni utajiri mtupu daaaah
Mkuu finya red button ujilipue hapa research ishafanywaShukran mkuu, acha nifanye paperwork kiundani zaidi.
Mr. Wise nimetupia kapost hapo juu naomba msaada wako wa mawazoPush msg is back...nimejaribu kuweka muda huu imekubali, jana ilikataa
Push msg is back...nimejaribu kuweka muda huu imekubali, jana ilikataa
Mmmh hili hapa mkuu ila sijalilipia badoMkuu ebu fanya kurejesha yale makokoro twende sawa na mhindi
Goodluck ila ziko nyingi.
Mchana walikua wameziondoaMbona kampuni zote za bongo bado zipo
Mbinu nzuri ni kubet inplay kwa mechi husika huku ukiitazama, hapa utaweza ona dalili za option unayotaka kucheza zikijitokeza ndipo ubet.wakuu habarini...!!!
Wakuu nimekuwa nikibett in play kwa options za kona na over 0.5 in first time, naombeni msaad wa options zingine za in play zenye uhakika angalau hata wa asilimia 90 niwe nazitumia mana hizo options zangu huwa natumia kuangalia kona kama zimepatikana nyingi angalau hata kona 2 au zaidi basi najua mechi hiyo/hizo lazima zitoke na over 0.5 first time, sasa wakati mwingine nachana mikeka mno.
Montpelier wa kumchungaTottenham 3+
Sevila 3+
NAC 3+
Roda 3+
Montpelier 3+
Total odds 12
thanx japo kwa mfano sina access ya kuangalia mechi ila na site ya kona na mgoli, hapo inakaaje Mr. Wise?Mbinu nzuri ni kubet inplay kwa mechi husika huku ukiitazama, hapa utaweza ona dalili za option unayotaka kucheza zikijitokeza ndipo ubet.
Mfano : Kama kuna mechi ya Team A na Team B na ikitokea live unaona team A inazidiwa sana yani mpira upo golini kwa team A na team B wanapiga mshutui ktk goli la A ni rahisi sana kuweka team B inayoshambulia itapata idadi fulani ya Kona
mbona kwangu hawa 1xbet ligi ni chache?
Hamna bet wana leagues nyingi kuliko 1xbet.mbona kwangu hawa 1xbet ligi ni chache?
Cheki livescore123.com, nani ametawala mchezo, ktk maeneo hayo ya mashuti, possesion nk. hii nayo pia usaidia, ingawa sometimes mambo ukataathanx japo kwa mfano sina access ya kuangalia mechi ila na site ya kona na mgoli, hapo inakaaje Mr. Wise?
Zipo nyingi labda uzipati sabab hawa jamaa mpangilio wao wa mechi ktk web yao tu sio mzuri...mbona kwangu hawa 1xbet ligi ni chache?