Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi 1xbet ukifuta mkeka hakuna namna ya kurudidhs.....daaa nilikuwa nafuta mikeka niliyo kosa bahati mbaya nimefuta yote mbaya zaidi kuna mkeka mmoja ulikuwa na timu 8 imebaki 1 zote 7 win hiyo 1 nacheki kumbe inacheza 23/3 kwa hiyo hata ku sell siwezi maana nimeufuta alafu una odd 192
 
Wadau hivi kuna mtu ashawahi kutoa pesa 1xbet? leo sku ya 3 sjapata mzgo. Af jana na leo nmepga sasa nawaza itatokaje
 
Ipo....nilifuta accidentaly mkekq ambao ulikuwa unsettled...niliwasiliana nao...wakaniambia nitume National ID, account number ya 1xbet, duration ya mikeka niliyofuta.., yote ikarudi
 
AMBAYE AMESHAWAHI KUTOA MPUNGA 1xBet,ATUPE USHUHUDA BASI,KWAMAANA WATU WANAULIZA KUTOA HELA NA HAJIBIWI
 
Wakuu naomba mwenye predictions za VIP amwage hapa tuokoteze timu. Nimeitafuta hiyo app play store ili ni-install nimeikosa. Msaada kwa mwenye nayo tafadhali.
 
Wakuu naomba mwenye predictions za VIP amwage hapa tuokoteze timu. Nimeitafuta hiyo app play store ili ni-install nimeikosa. Msaada kwa mwenye nayo tafadhali.
mkuu we mwenyewe umechemka mpaka utegemee hao jamaa?
 
Kwenye 1xbet unaweza ku save mkeka, uki save kuna code unapewa kwa hiyo ungetumia hizo code ku download mkeka alio save na ku place bet.
Ok so tunaweza kuwa tunatumiana mikeka? Safi sana
 
Wadau hivi kuna mtu ashawahi kutoa pesa 1xbet? leo sku ya 3 sjapata mzgo. Af jana na leo nmepga sasa nawaza itatokaje
Kwa mpesa kuyoa rahisi sana ndan dk 5 hela inasoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…