Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau iv kukesh out inalimit ya mda au ata dk 88 unaweza kufanya ivo.
 
Nina siku nyingi kwa upande wa huku.
Atlanta Hawks - Cleveland
Cavaliers
Over 209.5
points
1.57

Detroit Pistons - Los Angeles
Clippers
Detroit Pistons
1.73

Combination Odds 2.7
 
View attachment 693289

Asante Bilbao....Hakuna option rahisi
Option yoyote inayohusisha kupatikana goli kwenye mechi... Basi hiyo ni option ngumu... ila zipo option ambazo ni matukio ya kawaida ukiacha goli ambayo uwezekano wa kutokea ni mkubwa... Mfano pernaty awarded, 10min, first to happen, throw in bfr foul, goal kick bfr Conner na nyingine kibao
 
Pole mkuu, niliwachukua Cavs na ndugu zako philadephia win 1st quarter wametoa fresh nawasubiri sydney wanawake watoe ov 2.5 bet iwe won...Naomba kufahamu utaratibu kwa ku sell mkeka kwa kutumia 1xbet na wanalipaje baada ya ku sell....najiandaa kwa lolote hapa nikiona hao mademu wanazingua
 
Odd 9 nabahatisha humu
 

Attachments

  • IMG_20180210_082001.jpg
    63.8 KB · Views: 50
  • IMG_20180210_082034.jpg
    16.1 KB · Views: 53
Kuna option ya team gani itaanzisha mpira ina odd 1.9. Hapo ni kucheza na bahati, filimbi ikipigwa tu unajua umepata au umekosa
 
Unacheza ya kampuni ipi na option zipi? Mkuu....iyo huwa ina raha yake sometimes


Kweli aisee ... juz kati na mm nliamua kucheza ya Princessbet, option ni over 2.5 tu. Nikapata 70K fasta fasta, nilipoona naanza kuliwa tu nikaachana nayo.
 
Kuna option ya team gani itaanzisha mpira ina odd 1.9. Hapo ni kucheza na bahati, filimbi ikipigwa tu unajua umepata au umekosa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dhaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…