Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hongera mkuu nilivyoiona post yako nilijua tu hii ni hela lakini H+ ilinikatili
Shukrani kaka ngoja tuendelee kupambana...ingawa huyu kanji ana mbinu mbaya sana ukimpiga anakutafuta kwa kila hali ili umrudishie pesa yake
 
Accumulator #1

Wigan win
Accrington win

Single bet #1

Playmouth win against Afc wimbledon

Single bet#2
Juve win against totenham
 
OPTION IPI INAFAA KWA HII GAME;
juve vs spurs
1.
totol throwns undr4.5 for the 10mns odds 2
2.1ht over 0.5 and 2ht over1.5 odds3.8
3.none of the events will happen in first5mns,goal,corner,y/rcard or penart odd1.8
4.corner in 5mns:NO ODDS 1.57
Hiyo option namba 3 nifafanulien vizuri

​
 
wadau wa 1xbet hakuna anayeweza kuvaa mabomu kwenye hii?Bristol Rovers - Rochdale
Team 1 To Score Penalty: No 23 odds
Mi nimevaa mabomu na kujilipua, nikawa siamini, nimevaa kwa mara ya pili ila wakati najilipua imeniambia siwezi kujilipua mara 2 kwenye timu moja.
 

Hisipotea penalt hapo unachekelea
 

Ila ukiona odds nyingi hizi yawezaa kuwa Slope
 
Hapa umechanganya madesa mkuu maan ili hii ifanye kazi lazima kwanza penalty itokee na wakose, kwa hiyo isipotokea penalty umepigwa na muhind tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…