Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamani nisaidieni kutazama matokeo ya hii Match kwenye app nayotumia wanasema watatoa Updates baada ya mpira kumalizika
 
Jua kwamba wakipata penalty lazima wafunge, wakikosa umeliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…