Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Angalia sikumoja usije ukakimbia jukwaa bila kuaga. [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanawake weng mno wamekimbia bila kuaga [emoji23] [emoji23]
Hahahaaa me nabet mbili tu na siweki dau kubwa...sitokimbia nitawachuna za kwenu[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] nipate mtaji wa kubet upya!!!!!!
 
Hahahaaa me nabet mbili tu na siweki dau kubwa...sitokimbia nitawachuna za kwenu[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] nipate mtaji wa kubet upya!!!!!!
Njoo unichune mm huwa napenda sana.
 
Hapana chezea vyuma....leo nimemla Mhindi...nimepata hela ya kilo 6 za mchele....mwezi unasogea...[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Masharti ya hii hela ya kubet
1. Kabla ya kubet usiwe na lengo lolote, fanya kama umepanda mpunga kwenye mawe, ukiliwa sawa na ukila sawa
Ila
Ukishakula, withdraw na ukafanye matumizi au malengo yako kabla ya kuchungulia odds zilizoshiba humu. Wengine huwa tunakula hela nzuri ila mwisho wa siku tunamrudishia kanjibai kwa ajili ya tamaa ya kuweka stake kubwa zaidi isiyokuwa na jasho. Hakikisha unaacha kiasi fulani kwa ajili ya kuwekeza tena.
 
Leo hao Basels wataishangaza dunia nyie wachukulieni poa tu..wabaya sana wakiwa nyumbani kwao hao
unataka kuonyesha tu.kwba na ww umeotea na imekua.kweli ila kama una uhakika na ukisemacho njoo na data na supoting reference
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…