Mr Adam Gella
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,327
- 664
For real yani nshaona ukishare watu wanakuja kwanza na negative perception yani mtu unavurugika kavisa psychologically...wamenboa sana ata kweny magroup ya wasap utani mwingi watu hawapo serious yani!!na at the end of the day mkeka unatik yani!!unajikuta unajuta why dd you share??!Dah kweli me mmoja wapo mkuu naogopa kabisa kushare
Ila jana watu wengi wamepiga sana PESA....sanaaaFor real yani nshaona ukishare watu wanakuja kwanza na negative perception yani mtu unavurugika kavisa psychologically...wamenboa sana ata kweny magroup ya wasap utani mwingi watu hawapo serious yani!!na at the end of the day mkeka unatik yani!!unajikuta unajuta why dd you share??!
Ofcoz...ndo maana leo watu wanazitumia hawana moralii tena!!Ila jana watu wengi wamepiga sana PESA....sanaaa
MfyuuuuuuuKwaresma wakuu tumefunga kubet[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Salama komredi. Mimi kweli napumzika mpaka pasaka.Mfyuuuuuuu
MI nimepumzika kitambo sana .... Nna mwezi wa pili sasa....Salama komredi. Mimi kweli napumzika mpaka pasaka.
Nipeni mikeka yenu ya leo..Leo naona watu wanapumzikaa..!!
Odd ya ngapi? imekuja.
Ni kweli kabisa mkuu.Huna loloote kaishangazaje sasa?Kala 4,nyie ndo mnaotishia watu bila supporting evidence ya unalopoka tu kumkatisha mtu tamaa ndon maaana sometimes watu wanaogopa kushare hum kabla ya mechi maana mnawavuruga psychologicaly matokeo yake wanaleta Won tickets
KWELI KABISA AWE ANALETA MAPEMA WATU TUONE AISEEE......Leta mkeka na before co unaleta
Umeshawin
Mbona umepanick kaka? Zile zilikuwa ni precaution tu na tunaambianaga humu kila siku na ikitokea otherwise it is well and good..naona umechukulia kama ugomviHuna loloote kaishangazaje sasa?Kala 4,nyie ndo mnaotishia watu bila supporting evidence ya unalopoka tu kumkatisha mtu tamaa ndon maaana sometimes watu wanaogopa kushare hum kabla ya mechi maana mnawavuruga psychologicaly matokeo yake wanaleta Won tickets
We hujitambui hata kidogo umekaa kisharishari mno...just be wise utaheshimika tuUsifananishe Man city ya sasa na hayo mavitu ya Kijinga uliomention hapo juu!Huyo Basel wenu ka 4 sema tena!!
Mkuu upoMfyuuuuuuu
Hadi inavunja moyo kabisa!!For real yani nshaona ukishare watu wanakuja kwanza na negative perception yani mtu unavurugika kavisa psychologically...wamenboa sana ata kweny magroup ya wasap utani mwingi watu hawapo serious yani!!na at the end of the day mkeka unatik yani!!unajikuta unajuta why dd you share??!
Nipo napitagapitaga kimyakimya kama SizonjeMkuu upo
Embu tuandalie lunch tupate nguvuNipeni mikeka yenu ya leo..
si mnajua dada yenu nawategemea...
Sent from my GT-I9082 using JamiiForums mobile app
Jamaa wanalemkeka ikiwaKWELI KABISA AWE ANALETA MAPEMA WATU TUONE AISEEE......