Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Da ata siamini ninapoona eti liva kapigwa na westham wakati iyo mechi haipo walikosea kuiweka mwenye system sijui
 
upload_2018-2-17_23-26-14.png


Uyu Peterhead kumbe anacheza tareh20....sabab hzo nyingine zote zimeshatiki nimeona bora ni sell mkeka kuliko kumngojea yeye iyo tarehe 20 niltazama vibaya nikajua anacheza leo
 
Option ya ku sell nzuri sana...imenikumbusha ule mkeka wa nyegere86 wa mil 10, kama wakat ule kungekua na ku cash out asingemsubiri yule mpuuz aliyechana ule mkeka peke yake kesho yake
 
Option ya ku sell nzuri sana...imenikumbusha ule mkeka wa nyegere86 wa mil 10, kama wakat ule kungekua na ku cash out asingemsubiri yule mpuuz aliyechana ule mkeka peke yake kesho yake
 
Premierbet mungu anawaona yani mmetuwekea mechi zaidi ya 100 afu cha ajabu 80 zimeshaisha kitaambo,
 

Attachments

  • Screenshot_20180217-233256.png
    Screenshot_20180217-233256.png
    16.8 KB · Views: 63
Back
Top Bottom