Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ADO Den Haag anacha ila wazeee walio chambua waka mtoa huyo sasa hivi wanacheka
POINT 36 HIZI HAPA BEBA UNAZO WEZA SIO LAZIMA ZOTE

Wolfsburg v Bayern Munich Total Goals - Over/Under 2.5 (Over 2.5 goals)

Udinese v Roma Match (Result Roma)

Brighton v Coventry Match (Result Brighton)

PSV v Heerenveen Total Goals - Over/Under 2.5 (Over 2.5 goals)
ADO Den Haag v Willem II Match (Result ADO Den Haag)

NAC Breda v AZ Alkmaar (Match Result AZ Alkmaar)

Schalke v Hoffenheim Match Result Schalke
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli mkuu
Yep imewahi tokea kuna game ya Ndanda na Kagera sugar, game ilishachezwa juma 3 wao juma 4 wakaiweka niliicheza option nne kuwajaribu maana matokeo nilikua nayajua. Nilicheza Correct score, HT/FT, Goal scorer na Total goals. Nilitest tu nikashangaa usiku pesa imesoma. Nilijilamu kwanini sikumaliza option zote kwa stake za kumfilisi kanji
 
Hahahaaaa walete na kwetu kwenye 1×bet
 
Yani Mechi ya psg imeisha mda eti inasoma dakika ya 74. Na man u bado inacheza...mechi ya genk eti dakk ya 12 alafu genk kashapita 1.5 ila mule bado ...yani kiufupi zipo mechi 110 afu zote zishaisha na wachezaji saizi wako na wake zao.
 
Option ya ku sell nzuri sana...imenikumbusha ule mkeka wa nyegere86 wa mil 10, kama wakat ule kungekua na ku cash out asingemsubiri yule mpuuz aliyechana ule mkeka peke yake kesho yake
Naipenda sana hiyo option,,nikiona mambo yanakwenda mrama naamua angalau bora iwe nusu shari kuliko shari kamili!
 
Yep imewahi tokea kuna game ya Ndanda na Kagera sugar, game ilishachezwa juma 3 wao juma 4 wakaiweka niliicheza option nne kuwajaribu maana matokeo nilikua nayajua. Nilicheza Correct score, HT/FT, Goal scorer na Total goals. Nilitest tu nikashangaa usiku pesa imesoma. Nilijilamu kwanini sikumaliza option zote kwa stake za kumfilisi kanji
Du kampuni gani hiyo?
 
Yani Mechi ya psg imeisha mda eti inasoma dakika ya 74. Na man u bado inacheza...mechi ya genk eti dakk ya 12 alafu genk kashapita 1.5 ila mule bado ...yani kiufupi zipo mechi 110 afu zote zishaisha na wachezaji saizi wako na wake zao.
Kwangu sizioni kama zipo piga ela aiseee...unatumia nini web au apps nataka nijue niziwahi kummaaliza maana kwangu sizioni
 
Premierbet ndio huwa wanajichanganyaga.....uyu mdau aliposema zipo uko zilizochezwa nilishaingia kucheki faster sijazikuta aisee
bca2a00c6fd85ecc4ef4a778723141b1.jpg
ningekua na pesa kule aisee
 
Mbona hizo kama zimeandikwa blocked??mi sizipati kabisa
Hawa itakua wamejistukia kuna mechi kama si moja basi mbili zitakua zilichezwa alfu wakajichanganya, so wanafanya kuzuga kwa kuweka mechi nyiiingi ambazo zishacheza
 
Mbona nimezijarib mida hii zimekataa kabisa
 
Back
Top Bottom