Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

upload_2018-2-17_21-47-15.png
 
Wakuu Leo nimekuta mechi ya Liverpool na west ham sasa cha ajabu livescore zote haipo alafu kwenye betslip yangu wanasema inacheza Leo 17/2 saa 18:00 lakini mpaka sasa hakuna update yoyote kuhusu iyo match wakati zilizoanza saa 19:00 zimeisha
 
upload_2018-2-17_22-49-33.png


Huu ndio upuuz wa direct win na over1.5...kibonde mwenye odds lundo anamfunga mbabe na hata Over 1.5 inakosekana
 
Back
Top Bottom