Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo nimeini siku ya kufa nyani miti yote huteleza kiherehere cha kumweka galatasray dawa yake inaniingia hii timu imenikosesha laki na nusu.... shenz type [emoji17][emoji17][emoji17]
 
Mkuu mikeka yetu inafanana dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…