Shida mimi hata timu sizijui..ndo maana naogopa option za kiufundi kama hizohapo kwenye kona kuna pesa ya nje nje muhimu uzijue timu na styles zao za uchezaji
wiki nzima nimemchapa muhimu thru kona isipokuwa leo tu juve kaua
Nipooo nimekuja kusalimiaNimeona Avatar yako huku nilikuwa napita vijiweni tu.
Ndio nikasema nichungulie kidogo
DaahItabidi niwe natembelea nyota yako maana una upepo hatari
EeenhKesho naanza kampeni ya kuendesha gari kupitia mgongo wa mhindi lazima anipe gari
MhAmna ungekula mno wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eeenh
uzuri wa uzi huu upo spesho kwa shughuli nzima ya betting so watu wakishare pita nazo, though naona sikuiz wabet kona hawapo wengi humuShida mimi hata timu sizijui..ndo maana naogopa option za kiufundi kama hizo
Angalia ucje ukaendeshwa wwKesho naanza kampeni ya kuendesha gari kupitia mgongo wa mhindi lazima anipe gari
Niliufuata mkuu angalau ka pesa kamerudiNaona porto anafunga hesabu ya leo...bet wooon
Huku mtanifanya niwe chizi mnanitamanisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nipo tayari jaman ebu nisaidieniila hapa umefika utajua kila kitu kuanzia double chance, under/over, direct win, 3way, in play, bet win/lost and everything muhimu uwe tayari na unachotaka kukifanya
kukata tamaa ni mwiko bora kubet hela yako unaiona inapoenda kuliko biko sijui 3 mzuka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tembelea ya nakukunda anayo ile ya chips mayai au kuku
Umekopiwa na watu wasiopunguaHahahaaaaa nimecheka sana...watu walidharau mkeka wa demu mchana...nimetuma mnicopy mkakataa...Jokin
[emoji3][emoji3] nacheka sana mwenyeweUpepo umeniendea kombo kinoma
Siku unatembelea unapewa kichapo [emoji23] [emoji23] [emoji23]Itabidi niwe natembelea nyota yako maana una upepo hatari
Hahahaaaa bahati yao...wanipe 10%Umekopiwa na watu wasiopungua
10 wanaptaga kubeba kmy kmy
AiseeeLeo team 1 imenikosesha laki 5 njoo ujiunge na familia ya washindi mpira uwanjani pesa mfukoni
Mara 4 @ week...yaani acha tu nina nyota ya ushindi...haya sasa wachumba mje mtembelee nyota yangu...Jokin[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ina mpaka Baga na pizza hii ya
Nakukunda maana sku ya 3 leo
Anampuna tu kanji 3days 200k
Kibindon hii yake hata babu wa
Loliondo anasubr
Yeth utapata tu keep movingAiseee
Hongera bbyMara 4 @ week...yaani acha tu nina nyota ya ushindi...haya sasa wachumba mje mtembelee nyota yangu...Jokin