Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aliye niambia Ahly nimwangalie kwa jicho la kulembua cheki anavyo nyanyasa huko.
huyo anaecheza nae yupo nafasi ya mwisho kwenye ligi na Ahly yao ni ya kwanza so unaunganisha matukio tu

ya kuambiwa changanya na zako
 
Sikuzote jiwe zuri hupigwa mawe m nikaifwataa..nkaongeza mbili nasubiria kamoja bilambe supu yakeshooo

..
Alafu ukiona unasita sehem jua hiyo tim inaenda kufanikiwa,
 
Sikuzote jiwe zuri hupigwa mawe m nikaifwataa..nkaongeza mbili nasubiria kamoja bilambe supu yakeshooo

..
Nilitaka kuongezea mmoja mwingne akanitisha hawezi betia tim za Africa, nibora kutoa mawazo na sio kumcrash mtu direct nilitaka kumuongeza Ahli ambae ameshinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…