theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,731
Game bado mbichi tuwe na imani mkuuSporting CP huyuu...[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
getafe kesha kung'utwa kadi huu uchambuzi ni hatari sana.PIA KUNA HII GAME YA LALIGA
"Getafe vs celta"
Hii game naiona kabisa Getafe akicheza foul nyingi na kupewa card nyingi za njano kuliko mwenzie celta.
KWANINI NASEMA HIVO?
Nasema hivo kwasababu zifuatazo
1. FOUL
Getafe ndio timu pekee inayoongoza timu zote ligi kuu Laliga kwa kua na nidham mbovu
(kucheza foul nyingi sana)
kuliko timu yoyote ile.
Mpk hivi sasa Getafe ameshacheza foul 407 katika mechi 23.
Hii inamfanya kua na wastani wa foul 17.69 kwa kila mechi
Tofauti na mwenzie celta
Celta ni timu ya 2 kwa kua na nidhamu nzuri sana ya mchezo ligi kuu laliga
(kucheza foul chache sana)
Nyuma ya Barcelona anaeongoza kwa nidhamu nzur zaid ya mchezo.
Celta ameshacheza foul 262 katika mechi 23 alizocheza.
Hii inamfanya yeye kua na wastani wa foul 11.39
KWA TAFSIRI HIYO,
Getafe anayo nafas kubwa ya kucheza foul 18+
Wakati
Celta anayo nafas ya kucheza foul 11+
GETAFE ATACHEZA FOUL NYING ZAIDI.
2. YELLOW CARD
Mpk hivi sasa,
Getafe ndio timu ya pili kwa kupata kadi nyng za njano (kadi 78)
nyuma ya valencia(kadi 79) anaeongoza laliga kwa wingi wa kadi za njano.
Getafe mpk hv sasa keshapewa kadi 78 ndani ya mechi 23 alizokwisha cheza.
Hii inamfanya kua na wastani wa kadi 3.89 za njano kila mechi anayocheza.
TOFAUTI NA MWENZIE CELTA,
Celta yuko nafas ya 12 kwa wingi wa yellow card
Celta ktk mechi 23, keshapata kadi za njano 59.
Hii ni sawa na wastani wa kadi 2.5 kwa kila mechi.
KWA TAFSIR HYO,
Getafe anaweza pata yellow 4+
Celta akapata yellow 2+
Update......PIA KUNA HII GAME YA LALIGA

Update....MKEKA WA PESA No.1
Odds: 2.229
Stake: 75,000 Tsh
Marejesho: 167,175 Tsh
Mapambano yanaendelea
View attachment 698255
City Delph kapgwa red card kuleKweli city De Bruyne haja azishwa wametoka bila goli
Washakulaa umemee....Ov 2.5 game ya city wasiwasi
ndiyo maana nikaweka 1.5 over nawaju hao sema mechi bado mzeeSporting CP huyuu...[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Walionifuata hapa tunamsubili sporting ashinde tule pesa yetuGetafe CF v Celta de Vigo
Totals 1.5 - Over
1.29
Lazio Roma v Hellas Verona
3 Way - 1
1.23
CD Tondela v Sporting CP
3 Way - 2
1.43
Blackburn Rovers v Bury FC
3 Way - 1
1.53
Leo natoka hivi.....