Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

HABAR ZA MCHANA WAKUU

Leo kuna hii game ya uefa
"Bayern Munchen vs Besikstas"

Hii game naiona ikitoa magoli 1st half

KWANINI NASEMA HIVO?

1. BESIKSTAS
a) 83.3% ya mechi zake zote za uefa besiktas zimetoa magoli 1+ ndani ya first half.
ie: Mechi 5 ktk mechi zote 6 za makundi.

b) 66.7% ya mechi za besiktas, amefungwa magoli ndani ya first half
ie: mechi 4 ktk mechi zote 6 za makundi

c) 80% ya magoli yote aliyofungwa BESIKSTAS, yote yamefungwa ndani ya first half.
ie: Ktk magoli yote 5 aliyofungwa kwny group stage, magoli 4 yamefungwa ndani ya 1st half.

d) 66.7% ya mechi za BESIKSTAS, zimetoa magoli mengi ndani ya 1st half.
ie: Ktk mechi zote 6, mechi 4 zmetoa magoli mengi first half

Ni mechi moja tu, iliwahi kutoa magoli mengi second half.

e) 100% ya mechi za BESIKSTAS (home&away), zimetoa magoli 1+ ndani ya first half.
ie: Mechi zote alzocheza BESIKSTAS uefa, zote zilikua na magoli ndani ya first half.

f) 100% ya mechi za BESIKSTAS ugenini, zimetoa goli 1+ ndani ya first half.

2. BAYERN
a) 100% ya mechi zote za Bayern nyumbani, zimetoa magoli 1+ ndani ya first half.

b) 83.3% ya mechi zote za Bayern(home&away), zmetoa magoli 1+ ndani ya first half

c) 100% ya mechi alzocheza Bayern home, ameweza yeye kufunga magoli 1+ ndani ya first half

d) 55.5% ya magoli yote aliyofunga Bayern akicheza home, amefunga ndani ya first half
ie: magoli 5 kati ya magoli 9

USHAURI:
Hii inafaa kuchezwa
Over 0.5 first half
Au
First half Total 1- over 0.5
 
Twende sawa

1. Bayer under 1.5 goals each half NO
2. Chelsea over 8.5 kona
3. U19 PSG over 1.5 goals
4. Concord Rangers under 1.5 goals each half NO
5. Harrogate Town under 1.5 goals each half NO
6. U19 Man city over 1.5 goals

ODDS 4.22
 
BET WON

mkuu vp uliufata?? kodian
Yaaa nilichangnya na nyngne zkawa odd 15.55 na nikawa na 700 kwny account so nmekula kama 11000 hiv
Najuta aisee mkeka nilioka hela nyingi nmeliwa bora nngeweka huku nngekula hela nyng sana
 
Leo kuna tatizo kwny kuwithdraw Princessbet? ... nimewithdraw saa 11:51 am, mpk sasa bila bila. Nimechat nao wameniomba namba ya simu na username, wanasema wamelifikisha suala langu kwa technical team.
Napenda kujua km kuna mwingine amepata shinda kuwithdraw Princessbet.
 
Yaaa nilichangnya na nyngne zkawa odd 15.55 na nikawa na 700 kwny account so nmekula kama 11000 hiv
Najuta aisee mkeka nilioka hela nyingi nmeliwa bora nngeweka huku nngekula hela nyng sana
pamoja mdau
 
Hapana mm nimetoa vzr tena hela zote na kuanzia sasa nimehamia 1x bet zote nimeziingza 1xbet kwaheri princess nilikupenda lakn 1x bet kanipenda zaidi
 
Hapana mm nimetoa vzr tena hela zote na kuanzia sasa nimehamia 1x bet zote nimeziingza 1xbet kwaheri princess nilikupenda lakn 1x bet kanipenda zaidi


OK mkuu ... mm ngoja niskizie, hakuna namna.
 
mm jana ndo ilikawaia but nilivowaqjulisha ilichukua takribani masaa matatu
 
Siyo mbaya kwenye gambling ukimjaribu Khanji even kwa odds 1000, kwa jero ama buku upepo unaweza badilika ukatusua kiutani utani, ngoja njaribu nguvu ya buku2 wadau.

Chelsea FC v FC Barcelona
Champions League UEFA Champions League, Knockout stage
20-02-2018 22:45:
Halftime Fulltime 1/2
24.79

Bayern Munich v Besiktas JK
Champions League UEFA Champions League, Knockout stage
20-02-2018 22:45:
Halftime Fulltime 1/2
100.24
 
Tunaitaga tunatest mitambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…