Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ngoja tusubiri mkuu, mm kila nikiiangalia Chelsea sioni km wataweza kumzuia Luis Suarez a.k.a Le Vampire ... especially beki wakiwa David Luiz & Cahil
D. Luiz hayupo leo....Barca mkuu wamekua wakishinda kibahati sana wakicheza na team za kulazimisha kama Chelsea t wamekua wakipata matokeo hii inasababishwa na ku drop kwa Messi na Iniesta, mi naamini kabisa pona ya Barca leo ni sare!!But kikubwa tusubiri
 
1xbet
369d953be7dc442517ca54f56a574a0a.jpg
 
WAKUU,
Hii game ya Bayern inawz kutoa goli LA header

Maana 61.5% ya magoli yote aliyofunga Bayern kwny uefa msimu huu, ameyafunga kwa kichwa.

Namaanisha magoli 8 kati ya magoli yote 13 ameyafunga kwa kichwa.

Hii mechi ya Leo inawz pia kushuhudia magoli ya aina hiyo hiyo maana Bayern atalazimisha apate goli nyingi home.

Hii option INA odds 2.40

Headed goal-yes
Odds: 2.4

USHAURI:
Inafaa kucheza single bet
 
mkuu hizi stats za magoli yalivofungwa unazichamba manually au kuna source inayotoa izo data?
 
Let's bet!!!
100% Winning rate!!

20-02-2018 20:45
Bayern Munich – Besiktas Istanbul
World Clubs – Champions League

20-02-2018 20:45
Chelsea FC – Barcelona FC
World Clubs – Champions League

20-02-2018 18:30
Troyes AC – Dijon FCO
France – Ligue 1

20-02-2018 20:45
Brentford FC – Birmingham City
England – Championship

20-02-2018 20:45
Barnsley FC – Burton Albion
England – Championship

20-02-2018 20:45
Aston Villa – Preston North End
England – Championship

Follow ACCA OF the day
[emoji652]️[emoji652]️[emoji652]️[emoji652]️
Football ACCA of the day - Bettingrunner.com
 
mkuu, kusell kwa mtumiaji 1xb unafanyaje? Mimi kila ninapojaribu kisele vinanigomea. niliuliza costomer care akanambia machi zikishaanza kwamba siruhusiwi kusell
Ili uweze kucash out... Ziwe zimecheza angalau mechi Tatu ambazo zimetoka kama ulivyo tabiri .... Hiyo moja... Pili mechi zilizobaki isiwe imeanza Hata moja.... Hapo unaweza kucash out... Kama mechi zilizobaki zipo uwanjani au zinaingia uwanjani ndani ya dakika 5 inagoma.... Nshajaribu sana... Ukweli ndio huo
mkuu, kusell kwa mtumiaji 1xb unafanyaje? Mimi kila ninapojaribu kisele vinanigomea. niliuliza costomer care akanambia machi zikishaanza kwamba siruhusiwi kusell
 
Wakuu mambo vipi aisee

Me naomba nijuzwe kuhusu hii handcap,inakuwaje kuwaje hili nijaribu kuifanya kesho kutwa maana nasikia ina hela kubwa sana..
Me nimeshazoea normal,double chance na perfect,kuhusu hii handcap na under over,bado cjazitambua vyema naomba kujuzwa wakuu

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom