theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,731
Mpaka sasa nawadai wafuatao ushindi ili nimtandike Mhindi Rungu la kichwa;
> Fc Barcelona
> AFC flyde
> Fc Barcelona
> AFC flyde
Barca ni Draw hiyo mechiMpaka sasa nawadai wafuatao ushindi ili nimtandike Mhindi Rungu la kichwa;
> Fc Barcelona
> AFC flyde
Niliweka ashinde either half naona kawa mzitoBarca ni Draw hiyo mechi
NimewaambiaHz tim za leo
Mi mwenyewe nimeuona mechi zimeanzaDa
huu nimeukosa kutokana na muda
BET WON!!!ODDS: 1.97
View attachment 698788
Hatari sana...Robben alitolewa dk ya 44Hii nalala nayo ingawa kuna kipindi fulani ilinidhalilisha sana hasa pale mchezaji anapoumia 1st half na kutolewa
Ndo football ilivyo [emoji22] [emoji22]Hatari sana...Robben alitolewa dk ya 44
Kama kuna waliofata hapa BET WON
Kwa ushauri wangu bora uturbo na ustake tena. Hio od ulibakiza ni ndogo mno ina madhara kidogo saana. Ikikuchania utajilaumu saanaView attachment 698862 View attachment 698864 madrid anaweza shinda