Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mchawi mmoko kanyea mkeka
7bf1a3d443a258ddfa225678ed5a74ce.jpg
 
Pole sn

Kwangu barca wamenisaliti , wameshndwa kabisa kucheza offside 2+

Ila sio mbaya, kwa Leo

Nmelala na faida ya elfu 9,600 ya balimi 3 na kitimoto nusu kesho asbuh.

Mikek miwili tu nlibet
Mmoja wa 60k , ungeleta 126k UMECHANIKA

Mwingine wa 50k, ungeleta 119k UMETICK

TUNAMSHKURU MUNGU KWA YOTE.
Pole deep pond naombeni mnifundishe kubet kwa 1xbet mbona sioni option za kona..Jana mhindi kala elfu 10 yangu na juzi kala 14000 baada ya Man city kuchana mkeka... naona Mhindi anataka kurudisha laki 2 niliyompuna last week.....nimeshajiunga 1xbet ila options zao za gemu zisielewi na baadhi sizioni...Msaada wapendwa.....dada yenu nimekuwa mpole kama piriton
 
Tatzo wewe unabetia pesa kubwa mno alfu direct win jitahidi hata kwenye iyo m-bet ingia kwenye multiple bet uzipe team double chance alfu unaweka stake kubwa
hiyo ni total amount of bet unakuta mkeka mmoja una 3000 mwingine 2000 kama jana nilikuwa na mikeka minne yote chali.....ahsante kwa ushauri
 
Pole deep pond naombeni mnifundishe kubet kwa 1xbet mbona sioni option za kona..Jana mhindi kala elfu 10 yangu na juzi kala 14000 baada ya Man city kuchana mkeka... naona Mhindi anataka kurudisha laki 2 niliyompuna last week.....nimeshajiunga 1xbet ila options zao za gemu zisielewi na baadhi sizioni...Msaada wapendwa.....dada yenu nimekuwa mpole kama piriton
Usijali tuko pamoja

Ukishaiona mechi husika una double click kwny hyo mechi.

Zitatokea option nyingi,

Option za corner na nyinginezo nyng znapatkana kwa kuscroll left and light.
 
Ooh ahsante ngoja niende kuzitafuta
 
Hiyo kampuni ulotaja nikiisikia tu MTU anaitumia,

Najua tu
ndugu yangu uyo hatokua na furaha ktk maisha ya betting.
Ni nzuri kwa sisi tunaoanza japo haina option nyingi...mimi nimeanza kwa kuwapuna hela zao more than laki 2 kwa week kwa hiyo hiyo direct win and both team to score japo nataka kuadvance kufaham 1xbet
 
Mhindi alichonifanya kuanzia jmosi.... j2...j3...j4 sina hamu yaani unakuta timu moja or mbili ndio zinaharibu [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
 
Kwani hajaregister bado?

Mm nkajua registration keshamaliza
Nimesharegister....nimedouble click team zimekuja option nyingi...ila natumia simu inakuja kuscrow down and up hakuna left and right...na ukiscrow up inaficha option ya ile specific game kama double chance....usinichoke leo nafanyia mazoezi 1xbet nikiweza ndo nitaanza kubet
 
Jaman mzoefu wa kukesh out anisaidie iv unapocash out stake yako inarud km ilivyo au inakuaje!
 
Nimesharegister....nimedouble click team zimekuja option nyingi...ila natumia simu inakuja kuscrow down and up hakuna left and right...na ukiscrow up inaficha option ya ile specific game kama double chance....usinichoke leo nafanyia mazoezi 1xbet nikiweza ndo nitaanza kubet
Download application yao. Ya simu.
 
Nimesharegister....nimedouble click team zimekuja option nyingi...ila natumia simu inakuja kuscrow down and up hakuna left and right...na ukiscrow up inaficha option ya ile specific game kama double chance....usinichoke leo nafanyia mazoezi 1xbet nikiweza ndo nitaanza kubet
Mkuu na wewe unabet sikuhizi?Safi sana.
Karibu kwenye chama
 
Nimesharegister na kudeposit hela....nataka kujua kucheza tu...esp hizo options ambazo nilikuwa sizioni..ngoja nikafamye mazoezi sitabet leo kule mpk nijue vzr
Nenda juu katikati kabisa utakuta pameandkwa "SPORTS"

ukishabonyeza, utaletewa michezo ya aina zote.

Chagua " football"

Ukishabonyeza , utaletewa mechi zikiwa zmepangwa kutokana na ligi zao.

Chagua ligi unayoitaka, ingia

Utazikuta mechi nyingi, za leo na za tarehe za mbalimbali zijazo.

Double click kwny mechi husika kwa juu kidogo ya yale machaguo matatu ya awali ya 3-way

Baada ya mechi kufunguka,
Unaweza kuscroll kushoto na kulia Yale machaguo ya juu ukianzia kwny "Regular time", 1 half, 2 half corner, yellow card, shots on target, foul, throw ins, assist, nakadhalika

NATUMAI UMENIELEWA
 
Back
Top Bottom